Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aje atuambie tena sub ya fellain haikua sahihi........epl ya sasa huwezi linda goli moja
 

Wenger alipewa red card lakini hakufungiwa na baadae boss wa marefa alimuomba msamaha
 

Attachments

  • 1480876088128.jpg
    142 KB · Views: 35
Heri saresare kuliko kupoteza hawa everton wanatukomaliaga sana nakumbuka kuna msimu walitunyima kombe tukiwa kwenye harakati za kubeba kombe tukatoa nao draw ya nne nne.
Bahati bado haijasimama tu kwetu hata ukicheck goli lenyewe ndo vile herera naye anagonga mwamba.

Ila Pogba inabd akaze kuna mipira mingne anapoteza kwa kukosa umakini.

Tujipange kwa next game hope timu itarudi kwenye mstari tuu
 
United have dropped 7 points from goals conceded in the last 10 minutes of PL games this season.

Fellaini hana kosa aliyeumiza akili yake aka muingiza sub ndio mwenye kosa, naye ni Mourinho.
Huwezi uka muacha schwainsteiger na Schneiderlin home wana angalia mechi halafu una mbeba fellaini. Hii siyo bahati mbaya ni kosa la kocha.

Even Moyes was better at this stage he had 22 points kama skosei. Na hata kama nimekosea naamini tuna itafuta namba 7 au 8
 
Wenger alipewa red card lakini hakufungiwa na baadae boss wa marefa alimuomba msamaha
Hivi huna habari Wenger ni professor ..... .... ...... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee walimwomba msamaha kwa sababu walikosea khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu hizi kauli za kujipanga kwa next mech tusha zisema sana hapa.
Tunapotea, huu utakuwa ni msimu mrefu sana kwetu
 


On his 100th appearance, Manchester United fans plead: ‘SELL HIM!’

Khe khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ningekua mshauri wa mourinho,ningemshauri fella asiingie kwenye penalty box yetu,hata kama tunashambuliwa,asubirie mipira inayoyoka nje ya box ndo aicheze. Hii si coincidence kila mara niyeye tu
 

Leighton Baines, left, steers his penalty past David De Gea of Manchester United for Everton’s late equaliser.
 
Kwa alichofanya Fellaini, ni vigumu kumtetea tena..

Big Fella haitaji mtetezi yeye anapiga shughuli yake uwanjani ni chaguo la kocha wetu The Spesho One BTW tuna allergy na game za w'end ngojeni muone balaa letu kwenye YUROPA tunawakandamiza LORIA FC mpaka wajute.
GGMU.
 
wadau wameanza nafikiri ni kosa la kimchezo tuu
 

Leighton Baines of Everton scores an equalising goal from a penalty
 

Leighton Baines of Everton celebrates as he scores their first and equalising goal
 

Zlatan Ibrahimovic of Manchester United scores as Ramiro Funes Mori of Everton looks on
 
Nashindwa hata vumilia kwa hizi draw nimenunua chakula ila nashindwa nianzeje kula hii timu itaniua aseee
 


Man Utd after 14 games:

David Moyes: 25 points
Louis Van Gaal: 22 points
Jose Mourinho: 21 points

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…