Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ee ni shabiki wa Man Utd lazima tuwaige wao, au tutoke Europa tukamie ligi.
Umeelewa maana ya swali langu? Pengine hujui historia baina ya Liverpool na United. Lakini kwa kukudokeza tu, shabiki halisi wa United hawezi kuitumia Liverpool kama timu ya mfano kamwe!
 
Umeelewa maana ya swali langu? Pengine hujui historia baina ya Liverpool na United. Lakini kwa kukudokeza tu, shabiki halisi wa United hawezi kuitumia Liverpool kama timu ya mfano kamwe!
Duuh!
Mbona kina Neville na Scholes wanafanya hivo kila siku kwenye uchambuzi, na wale siyo washabiki tu bali wametumikia klabu na kuipa mafanikio!? Mi sidhani kama ni jambo baya hilo
 
Assesment ya timu hufanywa mwisho wa msimu ,ukianza kuhesabu baada ya mechi 13 Liverpool wasingefikisha miaka 26 bila ubingwa.Last season almost kila mechi De Gea alikuwa anakuwa man of the match
 
Assesment ya timu hufanywa mwisho wa msimu ,ukianza kuhesabu baada ya mechi 13 Liverpool wasingefikisha miaka 26 bila ubingwa.Last season almost kila mechi De Gea alikuwa anakuwa man of the match
Yes ni kweli lakini nimetumia kigezo cha mech 13, at least ku predict the future na hali si nzuri. Ila naombea timu ifanikiwe pia
 
Umeelewa maana ya swali langu? Pengine hujui historia baina ya Liverpool na United. Lakini kwa kukudokeza tu, shabiki halisi wa United hawezi kuitumia Liverpool kama timu ya mfano kamwe!
Usiishi kwa mazoea mister. Don't be too radical. Afterall this ain't war! [HASHTAG]#Nafasi[/HASHTAG] ya 7 inawahusu
 
Habari humu Mjengoni!!! Nimewamiss sana ubize tu ila tupo pamoja,Poleni wote kwa kipindi hiki kigumu ila heri nusu Shari kuliko Shari Kamili, tutafika tu mdogo mdogo........ Haya mashabiki wenzangu waleee uzalendo ni kitu bora, we are the United doesn't matter what, but let us unite......... thanks to all wasagasumu ninyi ni watu muhimu sana Kwetu, you make us strong!!!......... we don't stop when we are tired we stop when we done ..... GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.
 
Yes ni kweli lakini nimetumia kigezo cha mech 13, at least ku predict the future na hali si nzuri. Ila naombea timu ifanikiwe pia
Van gaal tulimpa miaka miwili tulipo ona hamna maendeleo akaondoka, mou ni miezi minne tu hadi sasa na kaonesha progress, attacking football, chance tunatengeneza za kutosha, beki japo zinafanya makosa lakini sio kama kipindi cha van gaal ambapo kila mechi ni de gea tu man of the match,

Possesion za van gaal ilikua ni sababu ya side way na back passes, embu tumpe mou muda hadi mwisho wa msimu ndio tufanye assesment
 
Premiere League Worst Team Of The Week
1) WAYNE HENNESSEY
2) MARTIN KELLY
3) STEVE COOK
4) NICOLAS OTAMENDI
5) LEIGHTON BAINES
6) MARTEN DE ROON
7) JASON DENAYER
8) MOUSA DEMBELE
9) AARON LENNON
10) JAMIE VARDY
11) MARCUS RASHFORD

http://m.goal.com/x/en/news/1862/pr...rdy-the-premier-league-worst-team-of-the-week

Premiere League Team Of The Week
1) DARREN RANDOLPH
2) PIERRE-EMILE HOJBJERG
3) DEJAN LOVREN
4) MICHAEL DAWSON
5) ANTONIO VALENCIA
6) LEROY FER
7) JORDAN HENDERSON
8) DIMITRI PAYET
9) SERGIO AGUERO
10) FERNANDO LLORENTE
11) ALEXIS SANCHEZ

http://m.goal.com/x/en/news/7180/ga...league-team-of-the-week-aguero-and-payet-star
 
Ila mkuu hivi ukimuangalia Mou unahisi ameongeza nn zaid ya kuwa na high tempo tuu.
Hana style maalum, hana wachezaj maalum, ukizingatia alipata chance ya ku spend kuliko Van Gaal, naona tumerudi nyuma kuliko alipo tuacha Van Gaal. Kumbuka sasa tuko wa sita kwa sabu tu everton na Watford hawapati matokeo mazuri.

Siamini katika kubadilisha hovyo makocha, lakini namuona Mou ni kama anapotea kwa sasa
 
Kwa misimu miwili LVG alitumia zaidi ua pound milioni 250
 
Solution sio kununua wachezaji tu ni jinsi ya kuwatumia wachezaji ulionao LVG aliwanunua DiMaria,Depay,Darmian,Rojo,Schneiderlen,Falcao na wote wamechemsha

Mourinho ameongeza mengi kwenye defence na midfield tatizo lililobaki ni kufunga magoli tu.LVG aliongeza nini ndani ya miezi 4 ?
 
Kwa misimu miwili LVG alitumia zaidi ua pound milioni 250
Nadhan ni bora tunge muachia msimu wa tatu, faida aliyo ileta Mou ni kwamba mtu kama Pogba asingeweza kuja under van gaal lakin pia haja make such a big difference kusema van gaal angekuwa pabaya zaid.

Wazo langu ni kuwa now tuna collection ya majina makubwa ambayo hayajui yanapswa yafanye nn uwanjani na tuna kocha ambaye alipaswa awe pazuri zaidi kuliko alipo sasa
 
Usiishi kwa mazoea mister. Don't be too radical. Afterall this ain't war! [HASHTAG]#Nafasi[/HASHTAG] ya 7 inawahusu
Who are you to tell me how to be?! Gosh!! How are old you?

NB: is it just me or what? I have seen an increased trend of really dumb comments! Excuse my French guys, but, I seem to have failed to tolerate such a trend!
 
Duuh!
Mbona kina Neville na Scholes wanafanya hivo kila siku kwenye uchambuzi, na wale siyo washabiki tu bali wametumikia klabu na kuipa mafanikio!? Mi sidhani kama ni jambo baya hilo
That's your opinion; and I respect it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…