Chelsea, Liverpool, Man city, Arsenal na Tottenham. Halafu bado mnataka kucheza UEFA?Una Blind moja kati ya mabeki bora wa pembeni wenye kujua kupiga krosi zenye macho, unamng'ang'ania Darmian.
Nimeanza kukosa imani na mbinu za Mourinho.
Ubingwa tushakosa hata nafasi ya Uefa tunaelekea kuikosa.
tumuache ndugu yetu ajipumzishe moyo, atakuwa ana Believe kama Nzi.CC DonDonald Mkuu siku hizi atakuwa anaangalia mpira akiwa ndani ya shuka..
Comment ya mwaka duh mie simo waombe msamaha!ushindi kwa mananure unakuja mara moja kw mwezi kama period kwa mademu.
morinho sio kocha.
Shukrani mkuu..nimeona!astro super sport 3 wanaonyesha
Campaign against Mourinho inaendelea
Kuna game 5 so far msimu ambazo maamuzi yametolewa against United na hizo game zote United hajashindaPOGBA ALIDIVE KAMA UMEONA REPLAYS JAMAA ALISTAHILI KADI
maeneo aliyotaka Free kick ilikuwa nje ya Box na kosa la KUDIVE na KUCHEAT sasa hivi ni CARD YA NJANO
mou kama mimi na wewe hakuona tukio vizuri akapanic....
hakuna campaign....kwenye Touchline kama vile uki over react negatively UNA KULA UMEME (RED CARD)
by the Way pole mkuu
KHE KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEE.......!!!!!!!!
Kuna game 5 so far msimu ambazo maamuzi yametolewa against United na hizo game zote United hajashinda
1.Game against Man City
2.Game against Watford
3.Game against Burnley
4.Game against Chelsea
5.Game against Arsenal na hii Valencia alidive ?
kaka hizo scapegoats refa anaweza ona incident ya penalt kuna Too soft akatoa au hasitoe
mfano leo game ya arsenal Bornamouth beki wake wameunawa Two times na Nacho mara moja ambazo ni clear penalty
refa kafunika......hajatoa akatoa penalti "TATA" ambayo Nacho alikuwa ame control mpira na CF hakuwa na uwezo wa kumfikia
Dembele alipewa penalti "LAINI SANA" game dhidi ya Arsenal pale Emirates...all in all haitokei kwenu tuu
nachoweza kubaliana na wewe MOU yuko too emotional kwenye Touchline hasa mambo yakiwa yanaenda KOMBO, msimu wake mbaya wa Chelsea alikutana sana na MARUNGU YA FA hapo mbona bado
mkianza kushinda mou hatogombana na FA ....
my take: Mou nae apunguze mshawasha pale kwenye Touchline na kusema marefa kwenye post games interviews
Mou ameanza kumvundisha uhuni wa kujiangusha ili kum-fool mwamuzi. Hii ni moja ya mbinu anaitumia sana Mou anapofundisha mieleka na rugby. Nimeona pia amekuja na mbinu ya kutumia mipira ya juu na pasi refu, carpet football imeshampiga chenga.POGBA ALIDIVE KAMA UMEONA REPLAYS JAMAA ALISTAHILI KADI
maeneo aliyotaka Free kick ilikuwa nje ya Box na kosa la KUDIVE na KUCHEAT sasa hivi ni CARD YA NJANO
mou kama mimi na wewe hakuona tukio vizuri akapanic....
hakuna campaign....kwenye Touchline kama vile uki over react negatively UNA KULA UMEME (RED CARD)
by the Way pole mkuu
KHE KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEE.......!!!!!!!!
Manchester United after 13 league games... ManagerNime mmis LvG
Najua kwakua droo kwenu ndo ushindi ndomaana mnalalamika sana cheza mpira unaoonekana haya yote hayatatokea mbona wanaoongoza ligi hatisiikii kama yenu ?Hizo incident nilizoweka hapa zote ziko clear na ndio ambazo timu imepoteza point nyingi kama maamuzi yangekuwa sawa United isingepoteza hizo point.United imefungwa sana enzi za SAF,Moyes,LVG but hakukuwa na series ya matukio kama haya yanayotokea mfululizo