Paul Scholes has claimed Manchester United hold a mental edge over their neighbours City and that their FA Cup opponents' big spending has only spurred United to want to beat them more. (Mhhhh! ....9 minutes to go)
hahahahahah LOL! nadhani wako jirani...Hawa wana kawaida ya kujificha na kuwa wachunguliaji tu wakishafanya vitu vyao ndio wanaibuka toka mafichoni. Wakiadhirika basi huwa wanasepa kimya kimya LOL! BJ & Co where are you guys!? we miss you!!!

HEHEHEHEHEHEHEHEHEE....E bana weeeeee! hamna kitu inauma kama kufungwa na mpinzani wako wa jadi! hii ni sawa na kuwa Raped kabisa bana, ha ha ha ahahaaaahhhhahhhahhhahhahahah!!!!!
RIO FERDINAND acha kujitia David Hayes wewe!!! Balotelli atakuua huyo!
Wakuu mbona mmeleta fujo London Baloteli anapigwa hapa Ooops na wachezaji wa Manure khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee ni Rio Ferdinand huyu anataka kupigana khe khe khe kufungwa kubaya khe khe kheeeee