Baada ya kuwekwa benchi Rooney imemsaidia na alikubali so anajitahidi akipata nafasi apiganie nafasi kumuonyesha kocha kwamba bado uwezo anao,Rooney workrate yake ni kubwa ingawa kiwango kimepungua lakini still ana msaada.Hizi game 2 amecheza vizuri sana lakini yeye na Ibra hawapaswi kuchezeshwa dakika 90 kila wiki