Sababu ya kumleta mou ni ule mkataba walioingia nafikiri ni adidas kama sijakosea kua within 3 yrs team ibebe uefa, mkaingia kichwa kichwa mkiamini atawafikisha top four sasa ni msimu wa ngapi huu tangu musign huo mkataba??Mkuu utd haipo sawa since sir alex astahafu, tunapita ktk kipind cha mpito, ndio maana kina Ed Wood wanafanya kila liwezekanalo kurudisha heshima ya hii timu, inapobid kufukuza makocha na kusajili, even Mou naye anaweza akafungashiwa virago endapo hii timu haitoingia top 4.
Look at liverpool, more than 20years no epl trophy, look at asernal, more than 10years no trophy, sasa jaribu kifikiri Wenger pamoja na uzoefu wake wa epl league bado anachemka, akistahafu je nin hatima ya asernal??
Ukweli kuntu unauma af mchungu worse part haumezeki japo hautemekiKutoka moyoni kabisa POLENI wadau
najua mnachopitia ila nasisitiza
Jaribuni Kuzoea....Transition takes Time thou watu wengine huwa wagumu kuelewa huu ukweli ....Angalieni msifungwe next game EPL maana Itakuwa Crisis back to back Defeats inaua Confidence vibaya sana na inaletaga Presha sana kwenye Team perfomance
Am Out
universal tv hd ila apple install. ni nzuri hiyo App.Mkuu hakuna app yake?
Zlatan kaanza kuonyesha kama kweli anayo Black Belt anakaba koo balaa!GGMU stands for Garbage, Garbage Man Utd....
Ndicho anachokiwezaZlatan kaanza kuonyesha kama kweli anayo Black Belt anakaba koo balaa!
Haya tena wadau na leo tena
Teampogba tunasulubu mtu leo
Kumbuka kawapiga 2 hawa leo sijui atawapiga ngapi??ngoja muda ufike tujionee
Mwaka 2014 Morinyo kachukua epl nitajie kocha wako mwenye jipya alichukua kombe lini?Mourinho has lost ground, hana jipya katika mpira wa miguu, hawezi kutengeneza timu. I said it the moment he was endorsed by manure fans, tuendelee kuangalia atakavyoaibisha timu...
Mwaka 2014 Morinyo kachukua epl nitajie kocha wako mwenye jipya alichukua kombe lini?
2015 akafukuzwaMwaka 2014 Morinyo kachukua epl nitajie kocha wako mwenye jipya alichukua kombe lini?
Baily,Valencia,Smalling ni majeruhiLol mtakuwa vibaya katikati. Naona wapenzi wengi hawamkubali Morgan S. Carrick na Schweini hawapewi kipaumbele. Nani atacheza along Big Fellaini katikati? Hivi Smalling naye ni majeruhi au alipumzishwa kwa ajili ya EPL?
Jama unaonekana unauchungu kweli na tim yetu...Ukweli kuntu unauma af mchungu worse part haumezeki japo hautemeki
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema wachezaji wa Manchester United walichukulia mechi dhidi ya Fenerbahce katika Europa League kana kwamba ilikuwa mechi ya kirafiki ya kujiandaa kwa msimu.Mourinho has lost ground, hana jipya katika mpira wa miguu, hawezi kutengeneza timu. I said it the moment he was endorsed by manure fans, tuendelee kuangalia atakavyoaibisha timu...
Haitaki kutumia nguvu kaa kimya shuhudia ofcorse he's right person at man u sasa subirini muone is he the special one?Mwaka 2014 Morinyo kachukua epl nitajie kocha wako mwenye jipya alichukua kombe lini?
Nimeanza kuifatilia arsenal mwaka 94 baada ya kutoka newcastle kwenda London nikiwa kijana mdogo kabisa mpaka leo sikuwahi kujuta kufanya uamuzi huoJama unaonekana unauchungu kweli na tim yetu...
Ngoja nikwambie kitu kijana.. I will never giv up with my tym .. Forever am united
Tena ukumbuke vizuri kijana hii hii tym imenipa ubingwa na furaha 2013.. So kushindwa ni kawaida katika mpira usiwe untok tok saana wakati ww hukupata furaha hiyo taingia umezaliwa unaishia kuisikia tuu kwa mzee wako livafool walixukua ubingwa!!
NB:NAJUA MSIPOFUNGWA NA MAN UNITED HAMJISIKII RAHA KABBISA WAIT TUIPANGE TIMU THEN TUTAENDELEA KUWAKUNGUTA KAMA KAWAIDA YETU.
Anha! kumbe arse8 vibonde wetu... Tuliza mshooono sasa..Nimeanza kuifatilia arsenal mwaka 94 baada ya kutoka newcastle kwenda London nikiwa kijana mdogo kabisa mpaka leo sikuwahi kujuta kufanya uamuzi huo
Pili mimi ni arsenal sio story au maigizo mimi ni arsenal tena arsenal damu sinywi pombe sivuti baada ya family yangu starehe namba mbili ni kuona arsenal wakicheza kabumbu pili ni kuangalia mpila
Kukuweka tu sawa screen short hii, MAN U ITACHUKUA SIO CHINI YA MIAKA 10-20 kuja kuchukua UEFA na 5-10 kubeba EPL so far huu unaenda mwaka wa 4.
2016 akasajiliwa Man Utd.2015 akafukuzwa