Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Hiyo ilikuwa goli la drogba, sijatulia mara limeongezwa la pili kwa Maure!!
Papizo naombea mpira uishe hapa hapa mana presha hizi sasa!!dakika zinayoyoma lakini!
Acha tu,na mimi nishakuwa kama Torres,timu nayoipenda haichukui kombe na niki divert kusapoti nyngine nayo inafungwa....kazi kweli kweli...
Good to see you too Belinda....siku nyingi kidogo,hopefully you are good!
mmh sheikh mimi nakuogopa..fingers crossed matokeo yabaki yalivyo🙂) itabidi niongeze mwekundu ili ubadili matokeo na utabiri,lol
Nipo BAK,salama kabisa..vizuri kusikia nawe u mzima wa afya..
Hiyo ilikuwa goli la drogba, sijatulia mara limeongezwa la pili kwa Maure!!
Papizo naombea mpira uishe hapa hapa mana presha hizi sasa!!dakika zinayoyoma lakini!
Naona furaha mtindo mmoja leo lol.
Hongera sana.
Acha tu,na mimi nishakuwa kama Torres,timu nayoipenda haichukui kombe na niki divert kusapoti nyngine nayo inafungwa....kazi kweli kweli...
Good to see you too Belinda....siku nyingi kidogo,hopefully you are good!
Mzee wa nuksi
Tumeshanda Belinda kwa raha zetu wapiga kelele waliokuwa wanatuombea vibaya naona wameingia mitini....
Njoo huku bwana hama huko ARSENAL...Huku ndio kwenye mpira.....hahaha
Hongereni wakuu kwa kuwafunga 10 man Chelsick team nafikiri wangekuwa 11 against 11 mambo yangebadilika mna bahati sana khe khe khe kheeeeeeeeeeeee
Mwoga wewe nasikia ulikuwa unachungulia tu Drog the bar anaweka chuma khe khe keh khe ke khe Park naye anaweka chuma kingine khe khe kheeeeeeeeeeee
Yani AW leo nina furaha sana..mana kuna mambo matatu yamenifurahisha sana siku ya leo, mojawapo huu ushindi..
Imebidi niingie pub kupata glasi ya wine na kesho sijui kama kazini kunakwendeka au itakuwa late, ha ha
Thanks a lot!..
park kapeperusha usingizi wote.. kesho shule lazima nijaladie lol
Hapo nakumbukia nilivyokuwa chuoni, yani mpira ukiisha tu ni full kelele mlimani!..hizi timu zinatu-drive crazy sijui kwanini!..Foodball is the best sport game to watch kwa upande wangu!!
Kudoz to fellow Manchester United Fans wana wa Old Trafford!!..
Una haki ya kuchelewa kazini kesho.Yani AW leo nina furaha sana..mana kuna mambo matatu yamenifurahisha sana siku ya leo, mojawapo huu ushindi..
Imebidi niingie pub kupata glasi ya wine na kesho sijui kama kazini kunakwendeka au itakuwa late, ha ha
Thanks a lot!..