Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unajua nini, yaliyoandikwa juu ya Mourinho lately ( juu ya his life being in a bit disaster in Manchester & juu ya Pogba) yapo katika hayo magazeti unayoyakubali. In fact Mourinho ameyasema hayo akiwa katika interview with the Sky sports hayo magazeti mengine usiyoyayakubali (kuya disi, kama ulivyosema) yamenukuu alichosema katika interview.
Kwa hiyo kesho ukija na articles za magazeti unayoya disi tunatakiwa tusikuamini au ?
Mkuu mi nili m quote kunguru mjanja kwenye ile link yake ya kwamba mou kamuambia rooney kuwa anaweza kuenda nilipofungua ile link ndio nikakutana na the sun, (nikamjibu mkuu bado unasoma the sun?) hyo inayohusu maisha ya mou jijini manchester kaiweka explore na sijamjibu kitu maana nimeisoma sehemu nyingi tofauti na hyo mirror.

Nadhani hapa ulishindwa kuelewa ni habari gani niliyo ishit kati ya hyo mou kumuambia rooney aondoke au maisha ya mou jijini
 
morinyo anaposema maisha yake yapo hatarini hamaanishi kuwa anawindwa kwa mabaya bali kutokana na kukaa kwake hotelini kunamnyima raha dhidi ya mapaparazi waliozunguka eneo aliopo kiasi kwamba hata restaurant inamuwia vigumu kwenda hadi anaamua kuorder chakula kupitia mtandaoni
Kwann asitafute house aishi, like Pep. anang'ang'ana na nn hotelini???
 
Kwa mimi nachoona humu wengi sometimes hatutaki kusikia negative news zinazohusisha timu tuzipendazo kitu ambacho si sawa. Tujaribu kuwa objective sababu hizi timu zinaendeshwa na binadamu kama sisi sio mashine.
Don't get me wrong blood! Ninachokipinga ni wewe kuleta hizo news kwa kutumia magazeti ya udaku...sensationalism kwenye tabloids ni extreme for the sake pf getting readership and not otherwise. So they do anything to get that. I don't mind hearing negative news! I get that all the times when United loses!

Unaamini kuna binadamu aliye objective? Objectivity is overrated and romanticised blood..
 
Nzi, herrera nasubiri siku mtakavyo quote some positive news about Man Utd kutoka kwa hivyo vyanzo (media) mnavyovipiga madongo. Na nina uhakika itakuwa very sooner. I think Manchester United will win tonight.
 
Nzi, herrera nasubiri siku mtakavyo quote some positive news about Man Utd kutoka kwa hivyo vyanzo (media) mnavyovipiga madongo. Na nina uhakika itakuwa very sooner. I think Manchester United will win tonight.
Utasubiri sana, haswa kutoka kwangu...I don't quote tabloids
 
IMG_20161026_182551.jpeg

FALAini asipangwe
 
Nzi, herrera nasubiri siku mtakavyo quote some positive news about Man Utd kutoka kwa hivyo vyanzo (media) mnavyovipiga madongo. Na nina uhakika itakuwa very sooner. I think Manchester United will win tonight .
Thanks, but hutakuja kuniona nimeweka habari toka
The sun
Daily star
Mirror
Express
Metro etc
 
Back
Top Bottom