RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,801
- 129,644
Wewe unaongea vitu vya ajabu. Last season we won FA cup, in fact this year. Talking about EPL we won it 2013. Kumbuka tukiwa na Ferguson tulikaa kuanzia 03-07 ndio tukapata EPL. Sasa sioni ajabu kukaa three/four seasons bila kombe. Hebu tukumbushe wewe Chelsea how long mmekaa bila EPL title?!! Well, nafikiri haina maana kwa sababu obvious umeanza kushabikia Chelsea alivyokuja Abramovich so hujasubiri 50yrs kwa ajili ya kombe.Hizi ni dalili mbaya...naona mdogmdogo mnaanza kuwa kama Liver/Arsenal...wazee wa historia!!!