Heri yako ulianza kushabikia Man utd since uko tumboni mwa mama. kudos to you bro.
Hahahaha 20042005 nilikuwa namaliza A level my friend..paleee Majengo sec, Moshi, Kilimanjaro...sasa ukiuliza wenyeji wa hapo watakuambia vilabu vilivyokuwa famous maeneno hayo ni Highbury (Arsenal) na Man useless...ningekuwa mfuata makombe ningebadilisha timu kipindi kile. Sikuipenda Chelsea kwa kuangalia kwenye TV..the first thing was 'the blues'...that is the first thing that made me choose the team, then the black guys...hapo sijaona mechi yoyote zaidi ya picha. Get your facts right.
Sisi ndio wale ambao TV ilikuwa inakaa chumbani kwa wazazi. the only times unaona mechi hizo ni kama tunacheza na Man utd ama Arsenal maana hao ndo walikuwa na vibanda vyao.
Next time tafuta a better excuse..history man!!!!