Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
Kunguru Mjanja yule jamaa huyu huku!!!
Kule anachungulia tu, hasemi kitu.
Kunguru Mjanja yule jamaa huyu huku!!!
bado nina imani na jose, he is the right one for us, huu ni kama upepo tu, tupo point 6 nyuma ya kinara ambazo ni mechi mbili tu, tumeshamalizana na looserfool (away), chelsea (away), man shityyy (home) bado assnail na spurs
assnail wamecheza na chelsea, na looserfool tu bado spurs, man shity, united
chelsea wamecheza na assnail, looserfoll na utd bado spurs, man shity
man shity wamecheza na utd and spurs pekee bado chelsea, looserfool and assnail
my point is hawa watakapoanza kukutana wao kwa wao sisi ndio tuta take over.
WE ARE UNITED
looserfool anatofauti gani na gari ya mkaa inayoonekana mjini, haina cha maana zaidi ya kuelekea gereji.usisahau kuwa Liverpool ameshacheza na hao wote including leister city kasoro Man city tu!na hatari zaidi ni kwamba wote amecheza nao kwao isipokuwa nyie Manfongo.
looserfool anatofauti gani na gari ya mkaa inayoonekana mjini, haina cha maana zaidi ya kuelekea gereji.
Kunguru Mjanja huyu jamaa naona bado hajajifunza kuweka akiba ya maneno.
Namsubiri aseme neno kuhusu mechi ya kesho...
Hyo ya juu kwamba i will never sell rooney nilisikia hata mimi, lakin hyo ya chini mmmmh umeitoa wapi hyo? Au ndio umeanza kuleta ujanja ujanja wako

Jipe moyo jipe moyo jipe moyo hamtashinda....Thanks to all haters for making our thread the most trending sports forum in Tanzania....
By the way, I wonder why people are hating on a team that they say it is shitty...[HASHTAG]#justthinking[/HASHTAG]
Naona una-cherry pick post za kujibu...ebu tupe uzoefu wa kuishi miaka 10 ya bila ubingwa! Mnafanyaje?Jipe moyo jipe moyo jipe moyo hamtashinda....
Thanks to all haters for making our thread the most trending sports forum in Tanzania....
By the way, I wonder why people are hating on a team that they say it is shitty...[HASHTAG]#justthinking[/HASHTAG]
Toa wewe...kwani umezuiliwa braza?Usifurahie ku-trend...hata scorpion ali-trend sana!!!
Hivi mbona hamtoi analysis ya game ya kesho jamani...
Naona una-cherry pick post za kujibu...ebu tupe uzoefu wa kuishi miaka 10 ya bila ubingwa! Mnafanyaje?
Mbona unatumia third party voice braza? Mimi nahitaji uzoefu na ushauri wako kama shabiki wa Goons ambao miaka 10 unapiga miayo tu, bila kula...hao wengine wanaosema siitaji kuwasikia. Nataka kusikia kutoka kwakoTake it one season at time, mwishowe unazowea. Si unaona wengine wanasema "After all Maisha yanaendelea" wameshazowea.
Mbona unatumia third party voice braza? Mimi nahitaji uzoefu na ushauri wako kama shabiki wa Goons ambao miaka 10 unapiga miayo tu, bila kula...hao wengine wanaosema siitaji kuwasikia. Nataka kusikia kutoka kwako
Nimetumia first person singular, "I" was a silent as "I" take it..... Ndivyo inavyofanyika. Anyway, baada ya muda utakuwa elewa..
dUH upo!????
Salaaalee...hadi umefufuka? Kweli United chama kubwa...linafufua hadi watu!!