Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angalieni tofauti ya bei Javier Hernandez 6 million pounds, Fernando Torres 50 million pounds...heehe tofauti tumeiona uwanjani.
 
Hahahah gaffer kweli kacheza hapa kwa Valencia... anamuingiza wakati beki ya Chelsea imechoka na iko streched.
 
Angalieni tofauti ya bei Javier Hernandez 6 million pounds, Fernando Torres 50 million pounds...heehe tofauti tumeiona uwanjani.

Hahahaha mkuu hawana kitu hawa.....hahah raha sana kwa kweli alafu kocha wao leo alikuwa anaongea kwa confidence kabisa.....
 
Angalieni tofauti ya bei Javier Hernandez 6 million pounds, Fernando Torres 50 million pounds...heehe tofauti tumeiona uwanjani.

Mwoga wewe nasikia ulikuwa unachungulia tu Drog the bar anaweka chuma khe khe keh khe ke khe Park naye anaweka chuma kingine khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Hatuangalii usoni kabisa...hahaha PARK sio mchezo huyu mtoto....
 
Mpira una dunda lakini usisahau hivyo sawa??

:angry: ni kweli Papizo....naona Park kafanya kweli,ndo maana nilikuwa nataka avunjwe,nilijua atafunga goli leo.....:angry::angry:
 
eti drogba sijui gbagbo!! park ji sung can do it even better
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…