Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1476994074175.jpg
POGBOOM
 
Waliokuwa wanamsema mourinho vibaya hawajui soka namshukuru kwa kuwaweka fit wachezaj kuanzia game ya liver tungefungwa morali ingepungua na kujiamini na siku zote red devils anapokuwa na ratiba ngumu huwa hapotez mech kizembe.
 
Kwendraaaa!!! Ndo tumeshainuka H ivyooo tushasafisha nyota[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]

Kusafisha nyota yenu ni sawa na kusafisha mikono ya nyani, baada ya muda anaitumia kutembelea.
 
Back
Top Bottom