TupoooooI BELIEVE IN POGBA....
naanza kutafuta wafuasi wangu humu...TEAMPOGBA TUJUANE MAPEMAAAAA
Pogbaaa... Nimependa staili yake ya ushangiliaji
Nilifurahi sana alivo funga van persie
Nimependa hiiwhen you score against your former employer and one of which you consider home
![]()
kama unatumia simu ya android ingia hapo download hii kitu install utacheki mechi zote za ulaya ni bundle yako tuHuna link maana mi naiangalia kupitia simu yangu ya mkononi
Huyu Carrick anazeeka vizuri hata mimi mtizamo wangu huo.Naombea jumapili pale kati awepo Carrick, Herrera na Pogba.
Then winger Martial na Jesse .