Dah bora na wao wametupia......
Nimefurahi. Raia wanachonga sana.Dah bora na wao wametupia......
Nimeipenda sana hii na zaidi Fergie alivyopiga makofi.......
Sana na hatimae midomo imepakwa gundi .Nimefurahi. Raia wanachonga sana.
Naomba kwenye ligi moto uwe huu huuSana na hatimae midomo imepakwa gundi .
Ndiyo tunakoelekea.......Naomba kwenye ligi moto uwe huu huu
Mdogo mdogo tu mambo yatakuwa mazuri kabisaNdiyo tunakoelekea.......
Jambo la maana sasaAlieruhusu pogba na martial wapige penati ana akili sana
Yote ni kuwajenga kisaikolojia
Sana .......amemsaidia hata Pogba kutupia la pili.....Alieruhusu pogba na martial wapige penati ana akili sana
Yote ni kuwajenga kisaikolojia
Amen!!Mdogo mdogo tu mambo yatakuwa mazuri kabisa
Alieruhusu pogba na martial wapige penati ana akili sana
Yote ni kuwajenga kisaikolojia
Mwaka huu una kazi sana msaga sumu!Kusafisha nyota yenu ni sawa na kusafisha mikono ya nyani, baada ya muda anaitumia kutembelea.
Wazza alitakiwa akapige penati, ila pogba akamuomba na wazza hakuwa mchoyo kama kawaida yake. Best decision from the captain.Sana .......amemsaidia hata Pogba kutupia la pili.....
Hahaaaa.. nipo mkuu.Sadio Mane upo ?
Acha tu ...kuna vitu naviweka sawa kule kutarudi enzi zake. Hongereni kwa ushindi wa janaKipenzi mbona umepoa ghafla yaani Hata picha za minato sizioni tena kule ,draw tu inakutoa roho? Come on ! maisha bado yanaendelea. ....![]()
![]()
Mbona kinyonge ?nikinjulie nafsi sema Hongera mpenzi kwa ushindi wa jana ongeza na makofi juuAcha tu ...kuna vitu naviweka sawa kule kutarudi enzi zake. Hongereni kwa ushindi wa jana
