everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Nakutegemea kwa updates Leo sicheki game ......Penati tena hahaaaaa
Nakutegemea kwa updates Leo sicheki game ......Penati tena hahaaaaa
Leo nipo tayari kwa lolote ,lolote tu ntalipokea.....but kushinda ni kuzuri ,naona ni mashindano ya kutuchosha tu ( Mtazamo wangu)

Usijali...pamoja sanaNakutegemea kwa updates Leo sicheki game ......
Mbona mnanitamanisha niamkeeee!!! Safiiii Man U...go onMartiaaaaal

All the best..Leo tunampiga mtu mkono![]()
We choko kweli yaaniMmewaokota gozi gozi wa kituruki, hongereni. Jpili mtapinduliwa darajani.
Namziaga sana michael, mou sema anapenda vurugu zakina fella.Mkuu umewaza kama, naamini carrick anaweza kutupa kitu bora sana pale kati akiwa na pogba
Kwendraaaa!!! Ndo tumeshainuka H ivyooo tushasafisha nyotaMmewaokota gozi gozi wa kituruki, hongereni. Jpili mtapinduliwa darajani.

Hahaaaa......Kwendraaaa!!! Ndo tumeshainuka H ivyooo tushashafisha nyota![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio ukubwa wa united huo ewe first lady tukifungwa wanasema tukitoka sare wanasema tukishinda ndo kabisa tumebahatisha! Wacha tuendelee kushinda hakuna namnaKwendraaaa!!! Ndo tumeshainuka H ivyooo tushashafisha nyota![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Juzi, jana na leoI BELIEVE IN POGBA....
naanza kutafuta wafuasi wangu humu...TEAMPOGBA TUJUANE MAPEMAAAAA