Felsic
Senior Member
- Jul 14, 2014
- 180
- 354
Aibu ni kupigwa 4 nyumbani na si kutoa draw away..Haibadilishi ukweli kwamba ni aibu sio


Aibu ni kupigwa 4 nyumbani na si kutoa draw away..Haibadilishi ukweli kwamba ni aibu sio


Haibadilishi ukweli kwamba ni aibu sio
For sure ilikua 4-3 so far ongeza kasi walau uwe unashinda usogee sogee nafasi ya 7 na 2 kuna gape kubwa sana hapo jitahidi kaka next game nampiga middlesbrough wakati huo unapigwa au kudraw tena na chelsea af BOLD GUNNER tunasogea kwa speed ya light
For sure ilikua 4-3 so far ongeza kasi walau uwe unashinda usogee sogee nafasi ya 7 na 2 kuna gape kubwa sana hapo jitahidi kaka next game nampiga middlesbrough wakati huo unapigwa au kudraw tena na chelsea af BOLD GUNNER tunasogea kwa speed ya light
Time will tellMbona jana ulipoteza kuangalia wasindikizaji EPL
Liverpool 65% possessions
Man Utd 35% possessions = If you don't call this a parking the bus, I don't know what parking the bus is.
Giggs na Neville wanasema hii ndio hali ya halisi ya Man Utd hivi sasa. Timu ilikwenda Anfield kwa lengo moja, Kutofungwa. Wapenzi msitarajie kupata soka la "Man U.t. d way" hasa timu ikicheza katika mechi kubwa kama ya jana.
Jibu swaliHili ni swali la kijinga.
We aint that cheap M.F. M. United is for championship and has been our standards forever.It started jus like how it is now, we counted from a second to 12 years... We didnt see this coming.. We were there waiting for no hope while hoping for somthing(trophy).... Thats arsenal once a gunner always a gunner, did u know that kunasiku u will be fighting for Top 5 not Top 4 just top 5, did u see that coming?? PRONDO!! Tell me did you??
Waulize walipewa ngapi na hao Liverpool?So ulitaka twende na mtazamo wa kushindwa? Nyie Arsenane mwachekesha kweli!!!!....kumbe ni vibonde basi tushashinda!! Unatutishia siye vibonde?![]()
![]()
![]()
Ooh two season pole kakaWe aint that cheap M.F. M. United is for championship and has been our standards forever.
You have 12 yrs of nothing. We have 2 seasons of no EPL championship.
Keep dreaming.
According to @optajoe Ander Herrera made 11 interceptions vs Liverpool; the most of any player in a Premier League game this
Utafuatwa PM shauri yako...Wazee wa kupark bus mpoo

Hata LvG alikuwa na mwanzo mzuri kuliko Ferguson..... Ila hilo halimfanyi JM kuja kubadilika na kuwa kama Ferguson.Six times Fergie played the 'Mourinho way'
1998: Monaco away - ended 0-0
2000: Real Madrid away - ended 0-0
2008: Barcelona away - ended 0-0
2009: Arsenal home - ended 0-0
2010: Sunderland away - ended 0-0
2011: Tottenham away - ended 0-0
2012: City away - ended 0-1
Nilikuwa nakusubiri kwa hamu zote jana lakini hukutokea nikataka nikufukunyue lakini nikasema huyu ni mpenzi wa roho yangu ngoja nimuhifadhi Leo nisimsumbue kumbe umeleta fujo huku?![]()
...... ntaanzisha singeli sasahivi unikimbie
![]()
![]()
![]()
![]()
...... hatushangiliii ila tunawacheka mliingia na matokeo uwanjani
![]()
![]()
ngoja niwahifadhi maana jana mlinifurahisha kweli