UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Vizuri basi tambueni kua kutoka nje ya top4 sio matako kila mtu anayo lugha nyepesi ni hii nyie ni wabovu ahsanteMpira una matokeo matatu
ukitaka kujua umuhimu wa matako kalia kichwa
Vizuri basi tambueni kua kutoka nje ya top4 sio matako kila mtu anayo lugha nyepesi ni hii nyie ni wabovu ahsanteMpira una matokeo matatu
ukitaka kujua umuhimu wa matako kalia kichwa
Kwaiyo unamaanisha manure ni Good for nothing yani magalasa unamaanisha hakuna kitu sio??Sio timu ndogo na kikosi chake kimejaa hela, sasa kwa tactics za jana ilitakiwa timu ndogo ndo kucheza vile.
Una pogba, mkhitaryan, ibra, etc alafu unacheza vile na kuaifiana kuwa jm ni geneus ni uendawazimu.
Nakuunga mkono sio sawa kabisa sabu ata sunderland hawachezi vileNimeanza fuatilia ligi kuu 1997. Bendera fuata upepo kivipi? Wee mechi ya jana 9 players behind the ball unaona sawa??
Vipi kupaki chevrolete kunaketa matokeo chanya??Sasa huyo punguani alitaka tutumie nin kujua statistics.....walichokipata wao kwenye kuuchezea mpira ndio tulikipata sie kwa van gaal then at the end hakuna matokeo chanya
So far man u ikirudi kucheza UEFA inabidi mkapimwe akiliShabiki wa Arsenal au Liverpool anaewaza kuchukua Epl anatakiwa apimwe akili.









So far man u ikirudi kucheza UEFA inabidi mkapimwe akili![]()
Kama sikosei attempts on target zilikua kama si 4 while nyie ni 3 bila kujisumbua kuangalia records za mtandaoniNi sawa,je hao waliocheza mpira walifunga au walitengeneza clear chances ngapi?
Kama sikusei attempts on target zilikua kama si 4 while nyie ni 3 bila kujisumbua kuangalia records za mtandaoni
LikewiseKumbe kisu kimegusa mfupa.
Wakati huo nyie mlikua na ngap??Liver walikua na shots on target 3,mbili zilipatikana kipindi cha pili.
Likewise
Wakati huo nyie mlikua na ngap??
Sisi tulienda na mtazamo wa win or draw wakati wao walikuwa na 100% Win, Ulimwengu uliwahakikishia 100% Liverpool win .... so huoni tumetimiza tulichokitaka?Mlitaka draw kumbe na zile attempts zilifuata nini golini kwa liver ??
Hamna lolote nasubiri point zangu tatu zilizotakata bila chenji kutoka kwenu......Nafikiri unajua nini maana ya speed ya light??
Inatosha na majibu mnayoMbili.
Sio mlienda na mtazamo wa win or draw ndio uwezo umegotea pale na subirini mkutane na vibonde wetu chelsea iyo tarehe22Sisi tulienda na mtazamo wa win or draw wakati wao walikuwa na 100% Win, Ulimwengu uliwahakikishia 100% Liverpool win .... so huoni tumetimiza tulichokitaka?
Hadi scholes alitusaliti mamaeeee mwisho wa matokeo wao ndio hawaamin ni nin kimetokeaSisi tulienda na mtazamo wa win or draw wakati wao walikuwa na 100% Win, Ulimwengu uliwahakikishia 100% Liverpool win .... so huoni tumetimiza tulichokitaka?
Tarehe 22 ni chelsea everlenk unapoteagaHamna lolote nasubiri point zangu tatu zilizotakata bila chenji kutoka kwenu......
Sio mlienda na mtazamo wa win or draw ndio uwezo umegotea pale na subirini mkutane na vibonde wetu chelsea iyo tarehe22
Short memory.For sure ilikua 4-3 so far ongeza kasi walau uwe unashinda usogee sogee nafasi ya 7 na 2 kuna gape kubwa sana hapo jitahidi kaka next game nampiga middlesbrough wakati huo unapigwa au kudraw tena na chelsea af BOLD GUNNER tunasogea kwa speed ya light