Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Umegusa mfupa
Possession ya kwao man of the match ya kwetu.
With nothing like unajaribu kusemajeHow many seasons do you have with nothing?
Mbna mi naona wawiliyapo manne kwa pogba wakat hererra kawapoteza coutinho na filmino peke yake hahahahaha
unakana tena tafuta kwenye post yako kwamba "mashabik wa united wasitegemee mpira mzur ulipo wanaukuu" sasa huo si utabir? Kila game na plan yake
Mbna mi naona wawili
de gea ana uwezo wa kudaka risasi bila wasiwasi
Duh nilikuwa sijui kuwa Kutegemea na Kutabiri vinamaanisha kitu kimoja. Itabidi nirudi shule ya msingi.
Hahaaa yani hapo ni kama msuli tembo afu majibu sisimizi.Possession 65% halafu una 2 shots on target?
Wow ....natumai watafika mbali....na leo big match ni barca na man city......arsen8 tutakuwa tunachungulia matokeo tu.Leicester city timu ya kwanza kufuzu hatua ya mtoano uefa
Kabisa kwa kweli kipa tunae.....na Mungu anatuona.de gea ana uwezo wa kudaka risasi bila wasiwasi
Hivi naomba kuuliza.....siyo kila timu iliyocheza siku ile ndiyo inatoa man of the match?, mfano man u wanatoa waona liver wanatoa wao?Possession ya kwao man of the match ya kwetu.
Only two shorts on target sa muda wote huo walikua wanafanya nin na mpira
Hahahaaa sasa hivi atakwambia yupo mmoja.wako wawili hapo?![]()