Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila pogba walimkamia hakuna mfano mamaeee wangemuachia kidogo tu
muda huu wanalia
 
Pamoja na kusajili hao akina pogba ibrahmovic kwa mbwembwe bado timu mbovu.cjui aje nani sasa.ha haa


unapofungwa na timu kubwa ni hovyo sana yule anavutwa ot usitegemee kumuona young tena ukija ni kichapo tu
 
Mlisema hamjawahi kuacha kupata 3 Pts kwa Liverpool ghafla watu wanashangilia draw
wanasahau walikomaa umu kua hata vilaza Moyes na Van Gaal walipata matokeo chanya siamini leo Jose anapewa sifa kapata draw kweli maisha bila unafiki hayaendi.....top 4 tunaisaka kwa tochi ila tutafika mbona ligi mbichi hii
next w'end Rent Boys wasihanye wapate tu draw tuone hesabu zitakavyo kaa.
 
Lini Zlatan alichemka ?
Angalia anavyomiliki mpira,pasi anazotoa na work rate ukizingatia ana miaka 34

Zlatani hafanyi lolote mkuu. Anachofanya sasa hivi ni ku-knock around pass zisizokuwa na macho. Cha ajabu Mourinho bado anamchezesha dakika zote 90.
 
ibra anazidiwa hata na rashford dogo angecheza kat angekuwa na madhara sana katuzamisha game tatu ibra hasa ya stoke roho yaniuma sana anamfanya pogba kuwa chiz kamtengenezea mipira mingi sana game za nyuma.
Game ngumu hii kumbuka Zlatan anacheza peke yake mbele na Pogba hakuwa na msaada wowote leo
 
Aiseeee kama watu hawakumuona herera kwa ile kazi aliyofanya huyo sio mpenzi wa soka akatafute uchi agonge tu
Wewe nawe!!! best usianze kunena kwa lugha kama majogooo maana kule wamekuwa kama mnara wa Babeli kila mtu anaongea lugha yake
 
Zlatani hafanyi lolote mkuu. Anachofanya sasa hivi ni ku-knock around pass zisizokuwa na macho. Cha ajabu Mourinho bado anamchezesha dakika zote 90.
Labda ndio sababu Mourinho anampanga. ku-knock around pass zisizokuwa na macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…