Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Guardiola anadhibiwa uku.
We will get there...worry not brother.Daaah man u tatizo letu sijui ni nn
Wewe usiongelee kabisa habari ya Pogba. Utachekwa bure. He is a world class.hivi mlimuona Ferguson chizi kumuuza pogba, oneni sasa mmeuziwa mbuzi kwenye gunia
Sijui hata nikujibu nini...Nashangaa kwanini mashabiki wa man u hawajang'oa viti aisee
Mou hana kosa. Nimeandika sehemu kuwa Mou ametenda makosa?Sasa mkuu Mou ana kosa gani Pale!!?
Hii droo Mou hata haingii kwenye lawama
Kuhusu ligi kutushinda sio shida kwangu ila leo nimesha kubaki hilo
Namsapot mourinho.
Leo tumecheza vizuri kila sehemu kasoro umaliziaji na kipa wa stoke alikuwa vizuri ana stahili kusifiwa
Ngoja nikawakaangie sumu kule kwaoGuardiola anadhibiwa uku.
Man city kazi wanayo



Ahaaaa! Kumbe Ubora wenu Munaangalia Positions na Chance Hewa???
Haya Nyie Weledi Wa Soka Jipimeni Kwa Chance Hewa! Wacha Wengine Wajitume Kwa Kutupia.
I'M MAN U HATER
One of those days.....
Msimu hauja ishaMou hana kosa. Nimeandika sehemu kuwa Mou ametenda makosa?
Mbinu za Mou zinajulikana. Basi ameli-park Daraja bovu, London na hajapata dereva wa kulileta Manchestfer. Likifika hilo ndio mtafurahia kuvuna points 3 hapa 3, pale.
Mimi namsapiti Mou napenda kucomedy zake(match press conferences zake). Pia anajua kununua mafanikio.
Nikumbushe. Hivi ametumia paunds milioni ngapi kununua wachezaji msimu huu?
![]()
![]()
Baba na mwana wanaimba na kuchezaaa...
Chief Herrera sijui yuko wapi leo na Everlenk bila kumsahau Sister heeee heeee....Stoke wana bahati sana naikumbuka assist ya Depay pale Britania msimu uliopita













We missed three clear cutt chances in the first half.When only one goal was enough for all three points......
Hizi kauli ndo zinatakiwa tutarudi tu hatupo vibaya sana ni mambo madogo yakikaa sawa wataita maji "mma "We will get there...worry not brother.