Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

4-3-2-1 ndiyo formation...Mata anacheza 10..Anders 6 na Pogba 8...ngoja tuone itakavyokuwa. Lakini I'm very optimistic na kikosi haswa nikimuona Anders na Mata ndani..
Timu nzuri hii, Rooney alikuwa mzigo, Fellaini wala sisemi.
 
  • Thanks
Reactions: DLS
Naona point yako hapa...coz kwenye hiki kikosi sioni yule mtu wa kukata umeme pale kati i think Angemuanzisha Carrick instead ya lingard halafu Pogba apande juu the pembeni Mata.
Umeme unakata kwa Leicester timu ambayo 60%ya 90mins wachezaji wote wako nyuma ya mpira? Kucheza na Leicester unahitaji creativity ya hali ya juu ambayo Mata anayo.

Fellaini anaweza kuzuia ila baada ya kuzuia anafanya nini na huo mpira? Huyu anawapa matatizo sana mabeki na kipa kwasababu anacheza faulo popote na muda wowote bila sababu ya msingi.
 
Back
Top Bottom