all the best jamani........
wanaona wivu Pogba.
Hua anakuomba hela ya saluni?tehetehetehe wakutuliza kitenesi ni popobawa! MKATA NYWELE GHALI ZAIDI DUNIANI! mapovuuuuuuuuuuuuu![]()
![]()
![]()
![]()
Ahahaaaaah...
shiiit!
kwahiyo kuulizia swala lolote la pogoba siku hizi tusi na ujinga eee?? kwani tuliwalazimisha kumnunua??? acheni kupaniq nyie mbulula!














Yani humu unakuta jamaa thread haimuhusu yeye kazi kupondea tu na unakuta thread ya team yake haina cha kuchangia sijui.....ila karibu mkuu maana hapa Jamvini thread ya Manchester United ndo talk of town so shoboka tu we whoever unajiita opponent tunajua Pogba is a big deal ndomana hatusikii hao wengine.































pouvuuu pouvuuuu pouvuuuu 





Kwahiyo zile mechi tulizoshinda ulicheza wewe? Acha umburura na kufuata mkumbo
Sawa. Peleka CV yako upewe utekniko dairekta pale OT. Inaonekana unaiweza kazi.ushindi upi nao unauita ushindi mangi! be real..Pogba was surplus thats the sad fact! Mlihitaji mbadala wa Carrick not otherwise.
Sawa. Peleka CV yako upewe utekniko dairekta pale OT. Inaonekana unaiweza kazi.
Shitty club!? Now managed by ex-shitty manager of yours?I'd rather serve my country than that shitty club sir!!!
wabongo bhanaNottingham iko daraja la tatu nafas ya 11,c kpmo halls kwa Manchester
MAN UTD Vs MAN CITY
Manchester United inapita Kwenye nyakati ngumu na za kutia simanzi mno.. Mithili ya yule mwanamke wa Kwenye BIBLIA aliyetokwa na damu kwa miaka 18 mfululizo teh teh teh...
Wakati Guardiola yupo Kwenye ubora wake akimtetemesha Ferguson mikono... Mashabiki wengi wa Man u walikuwa wanasema anabebwa na XAVI MESSI NA INIESTA... Wakaomba aje siku moja afundishe England tumpime..
(WALIFIKILI GUARDIOLA NI BOXER..)
Leo Guardiola yupo England kashinda mechi 8 mfululizo za michuano tofauti.. Na man u ameshawapa onyo tayari kuwa yeye si mtu wa mchezo mchezo.. Yeye Guardiola hajaribiwi..
vita ya Mourinho na Guardiola.. Huwa inakuwa ni vita kati ya msema hovyo na Mwalimu wa mpira.. Na mwisho wa siku mwalimu wa mpira ndiye huwa anaibuka mshindi. ''
Sasa unafanya nini kwenye uzi wa Shitty club bruh?I'd rather serve my country than that shitty club sir!!!