ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Ratiba imetoka tunakipiga na man city....tunamalizia hasira zetu hapa
Ratiba imetoka tunakipiga na man city....tunamalizia hasira zetu hapa
mkuu bora ulale tuAyayayay Kaingia Allen Potter...huyu jamaa mnajua....ni mfupi ana stamina balaa.
Aiseee....
Wapanga ratiba wanawapenda sana na wanawapendelea Man United. Kwa nini?Good to be back to winning ways....[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Au hasira zenu zitawamaliza! Hilo li-option usilisahau.Ratiba imetoka tunakipiga na man city....tunamalizia hasira zetu hapa
Kama hujui si ukae kimya man,kwenye hizo goli 3 pogoba a.k.a popobawa amefunga hata moja?? au ameassist?.
Ahahaaaaah...Ratiba imetoka tunakipiga na man city....tunamalizia hasira zetu hapa
Round inayofuata.
Tutakachomfanya hataamin kwa macho yakeAhahaaaaah...
Wacha weh..!
Ngoja nifanye kuscreenshot huu ukurasa kwa ajili ya USHAHIDI..!
kweli wewe limbende mpaka sasa ni mechi za kujipima nguvu kwa mawazo yako siku nyingine jaribu kuongeza ile 1% kufikiri ifike walau hata 1.5%Nottingham iko daraja la tatu nafas ya 11,c kpmo halls kwa Manchester
mkuu herrera Uyo anatumi 0.5% ya kufikiria ukisema 1% itakuwa si sahihiKama hujui si ukae kimya man,
Watu mnatafuta kudharauliwa kwa thamani yoyote.