Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

shiiit!
kwahiyo kuulizia swala lolote la pogoba siku hizi tusi na ujinga eee?? kwani tuliwalazimisha kumnunua??? acheni kupaniq nyie mbulula!

Oscar Oscar Jr.
Kama kuna mtu bado anasema Paul Pogba alinunuliwa na United kwa bei asiyostahili, huyo mtu anaweza kuja kuwa mchawi akizeeka!!
August 20 at 12:08am · Public
1,121 · Like · React · 237 Comments ·
Share · Full Story · Report
 
FB_20160922_07_59_53_Saved_Picture.jpg
 
shiiit!
kwahiyo kuulizia swala lolote la pogoba siku hizi tusi na ujinga eee?? kwani tuliwalazimisha kumnunua??? acheni kupaniq nyie mbulula!
alinunuliwa kwa raha zetu sasa maswali yenu kwake ni ya nini....? mwacheni .....afu hatuna mchezaji anaitwa pogoba.
 
alinunuliwa kwa raha zetu sasa maswali yenu kwake ni ya nini....? mwacheni .....afu hatuna mchezaji anaitwa pogoba.

Haterz hao ni mwendo wa kupanic na kumshusha thamani pogba ni pale unagundua club yako haina uwezo wa kushindana kifedha na vilabu vikubwa
 
Haterz hao ni mwendo wa kupanic na kumshusha thamani pogba ni pale unagundua club yako haina uwezo wa kushindana kifedha na vilabu vikubwa
wanatamani sana ila hasira wanakuja kumalizia kwetu.
 
and them being human and not some celestial beings..they are prone to err! [HASHTAG]#caseClosed[/HASHTAG]

Huu mchezo hauhitaji hasira bro...mwambie tu Pogba hajacheza leo!

Na mkitaka kushinda sahauni huu upuuzi wa Pogba. Chezesha Carrick na Herrera.
Mentor hela yote hiyo waiweke nje... Au ndo ile umelilipia ada toto Feza na mwingine Kayumba... Alafu wa Kayumba ndo anakuja kukubeba kimasomaso baba.... Wa Feza chenga
 
Back
Top Bottom