Pogba, Ibra, shwansteger, rooney, degea, mata, wachezaji wakali duniani bado mnakalia kwa watford, na mwakani hamlambi UEFA
Kwema kabisa tumefungwa ndio mpira wacha tujipange man united forever.Habari za umu ndani
muda utaongea ngoja atafutiwe mafundi wenzie lazima waingie sokoni tena huwez kumbebesha pogba lawama kwa kila mchezaji kuwa chini ya kiwango rooney mbona hamumzungumzii yeye jukumu lake ni lipi uwanjani? manchester united sio pogba ni wachezaji wote 23.
Post ya Zlatan haijamzungumzia Rooney besides Rooney has proved himself over the years lakini huyu $115M hata hajapiga danadana 200 bila kudondosha mpira afu mnampa kichwa. Rooney yupo katika end of his playing career inategemewa kupoteza ukali ni Mourinho anayempa nafasi wakati inaonyesha hastahili. Lakini excuse ya Pogba ni nini?
Sielewi hatuna bahati ama ni nini
Asante mkuu kwa maneno mazurMi nafikiri umefika wakati kwa Mourinho kuanza kufikiria upya nafasi ya Wazza ndani ya Starting XI ya Man Utd, Wazza amepoteza ubora wake maradufu.
Pia afanye uamuzi sahihi wa Kiungo wa kucheza kando ya Pogba, mengineyo bado nina imani na Kocha na muda wa kurekebisha makosa upo.
Win, Draw or Loose, We are United.
Never say never, United We stand.
GGMU.
ahaaaa ahaaaaa ahaaaaaNaskia hainaga ushemej...Tunakula........Naskia hainaga ushemej........Tunakulaga.....Zam ya nan leo...Zam ya Watford..Zam yetu itafka kesho uckonde baharia wnguMan cty kapita..Feyenood kapita.Watford kapta...
aaaah ndio mpira sasa matokeo yoyte ni sawa as long as hatujinyongi na kujitupa magorofani kama wale vichwa vya kuku