Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Atamlaumu mwamuzi na baadhi ya wachezaji.
Mou ashukuru, afanye maombi kabisa. Mwanzoni mwa mchezo watford,timu mkia wa mbuzi walikosa mabao 2 ya wazi, moja lilikuwa la kugusa mpira tu kuelekea wavuni, "De gunia" alipotea mtaa hakuwa langoni. Hii mechi ililazimika kumaliza 5-1. Hili 1 la Man disunited lilipasa kuwa lile la Pogba alipojaribu kukopi na kupaste lile bao alilofunga Xhaka,"chaka" jana.
 

Si wanasema hiyo ndiyo timu ya malkia mwenyewe?

lol
 

Nazungumzia Fellaini wa msimu huu sio huko nyuma,Hii gemu sio ya kumlaumu Fellaini.Since Mourinho kaja Fellaini ndio kiungo anayecheza vizuri
 
Wakaanga sumu naona mnajilamba midomo kweli kweli....haya bana, tambeni tu sasa, maana hakuna namna...ila ligi bado mbichi, msisahau hilo...kumbukeni katika EPL namna unavyoanza ligi uwa hauna maana sana....tusubiri hadi Disemba ndipo picha itaonekana...ingawa sina maana nafurahia matokeo ya timu sasa, ila bado sijaona what's the fuss, wakati ni mechi ya 5 tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…