Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rooney inabidi apumzike sasa. Timu haiwezi kuwabeba Rooney na Ibra. Mbaya zaidi Rooney anacheza nafasi ambayo inabidi awe anakimbia sana.
 
HAMIENI TIMU ZA MAANA KAMA BARCELONA,ATLETICO MADRID, BERYAN, R.MADRID , MAN CITY NA JUVE
 
Hii game ni ngumu kwa huyu refa.
Kwa hiyo post yako nimekuonea huruma. Yaani leo shabiki wa Man anamlaumu refa hata kabla ya break!!!

Hivi field Marshall Moorino akivurunda mtatoa wapi kocha???!!

Julio?
 
Msiwe wabishi hamieni Man City, au Arsenal... Ili muanze kuzoea soka safi......

Huku hakuna kubutua butua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…