sindano ya nyuki
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 250
- 118
Nadhan baada ya ule utumbo wake, daley blind kaanza kusugua benchi
Wings ziko poa, in short ni kikosi cha kushambulia lakin wasi wasi wangu hakuna mpiga basi kwenye hicho kikosi, ningependa sana kumuona either carrick au blind wacheze kama DM, all in all kikosi ni kizuri ngoja tuoneLeo wings ziko vzur
Labda mukulu wetu kaja na strategy mpya. N ngoja tuone, kikiisha kioindi cha kwanza kuna picha tutakua tumeipataWings ziko poa, in short ni kikosi cha kushambulia lakin wasi wasi wangu hakuna mpiga basi kwenye hicho kikosi, ningependa sana kumuona either carrick au blind wacheze kama DM, all in all kikosi ni kizuri ngoja tuone
NAANGALIA MAPUNGUFU YETU HAPA KATIKA GAME YA MAN CITY KUPITIA DSTV INAONEKANA KWAMBA TATIZO NI PAUL POGBA.. ALIKUWA ANAPANDA SANA KIASI KWAMBA KATIKAT PANABAKI WAZI NA KUMFANYA KELVIN DE BRUYNE KUTAMBA MNO... MTU KAMA CARRICK ANAHITAJIKA PALE KATI KUMFANYA POGBA AWE HURU ZAIDI... MAANA BILA HIVYO TUKIKUTANA NA TEAM KUBWA TUTAUMIA SANA...
Hahaa.... Tatizo jf hatujuani, mm pia mwenyeji sana wa kimara ila naangaliaga mwa mwarabu.Poa pia ndugu. Mi nipo kimara hapa najisogeza kwenye banda letu linaitwa ManFree, lina chemba zinanuka ile mbayaaaa sema ndo lina ushabiki mkubwa ile mbayaaaa
Iliniuma sana. . nilikua dissapointed na mpira aliocheza lingard cku ileNi kweli Pep alimzidi Jose tactics,Jose alitegemea winger lakini Miki &Lingard walichemsha sana kuna haja kwenye big mechi apange 4-3-3
Kwa mwarabu jahu pale. . kama vipi tuongie man free leo. . c unapafahamuHahaa.... Tatizo jf hatujuani, mm pia mwenyeji sana wa kimara ila naangaliaga mwa mwarabu.
Yeah kulikua hakuna namna nyengine, alichofanya blind siku ile hakivumilikiWHAAOOO HATIMAYE SMALLING KARUDI DIMBANI..... NAMKUBALI SANA HUYU BEKI AISEE....
Mkuu kama mimi tu, sijawahi kumkubali lingard hata siku moja, sijui kwa nini hatolewi hata bureIliniuma sana. . nilikua dissapointed na mpira aliocheza lingard cku ile
Sawa tumeitikia
Mkuu kama mimi tu, sijawahi kumkubali lingard hata siku moja, sijui kwa nini hatolewi hata bure
We jamaa upo?
Saa nane kamili na no inaanza hiviGame saa ngapi wakuy