Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dozi taratibu inawaingia


huyu mtu anawauma sana roho mnaujua ubora wake sikia maneno ya watu wa soka lazima mhamie huku unategemea xhaka anavyo kama hivyo scholes kaviongea?

Scholes: "If he plays 1-2 touch, sticks the ball into Zlatan & runs, nobody can live with that. He's got so much pace & power."
 
It's Okey Man United ............... Dhahabu lazima ipite kwenye moto .......... Maisha bado yanaendelea na hayana budi kuendelea ,let's move forward, Stand up United !!! We will make it!!!!..... GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.

I miss u so much swahiba ni muda hatujakaa tukajadili
nilikuja na jamvi jana nimelia sana hapa msibani ila sauti ya kike ilikua ya sister tu nikapata shaka kuhusu wapi ulipo naomba nikupe pole lundo swahiba.
 
Mnatia hiruma masikini
 
Kuwekeza kwa Moureen ni kosa kubwa Man U walifanya. Yule ni wa moto wa mabua, hayupo kwa long term na hana impact kwenye uwekezaji wa mda mrefu.

Soon tutasikia "Moureen Out"

We nae.

Acha kutia aibu mkuu.

Ulitaka uje kufundisha wewe?
 
Z̤̈ï̤m̤̈j̤̈ë̤n̤̈g̤̈ë̤ë̤ j̤̈ï̤n̤̈ä̤ m̤̈ä̤r̤̈ä̤ n̤̈g̤̈ä̤p̤̈ï̤ k̤̈ï̤ẗ̤ë̤n̤̈d̤̈ö̤ c̤̈ḧ̤ä̤ ẅ̤w ṳ̈l̤̈ï̤ÿ̤ë̤ k̤̈ï̤c̤̈ḧ̤ä̤k̤̈ä̤n̤̈ ḧ̤ṳ̈k̤̈ṳ̤̈̈ k̤̈ṳ̈m̤̈f̤̈ä̤ḧ̤ä̤m̤̈ m̤̈ö̤r̤̈ï̤n̤̈ÿ̤ö̤ ṳ̈j̤̈ṳ̈ë̤ë̤ ẗ̤ä̤ÿ̤ä̤r̤̈ï̤ ä̤l̤̈ï̤s̤̈ḧ̤ä̤ j̤̈ë̤n̤̈g̤̈ä̤ j̤̈ï̤n̤̈ä̤
 
Aiseee !!! Wewe ndo umenifufua tena hapa Jukwaani pamoja na majanga yote tuliyoyapata,its okey...... Habari za siku mingi? Msimu huu Timu zako zipi au zile zile za last season?
Hull, Majogoo ya Malafyale, Watford, Everton, Tottenham.
Nasikitika kukutaafifu kwamba si timu yako wala ya jirani zako itatwaa ubingwa msimu huu.
 
Tatizo la morinyo ni kutupia lawama wachezaji.
 
Sasa yangu mimi yanahusu nini kiongozi, niliwahi kukuambia kuwa ni kocha? Usiniletee stress zako hapa!
Ukweli unauma kaka we unafikiri hawajui kama moureen sio kocha wanajua sana sema kukubali ukweli ndio kinacho watesa hawa ndugu
 
Ukweli unauma kaka we unafikiri hawajui kama moureen sio kocha wanajua sana sema kukubali ukweli ndio kinacho watesa hawa ndugu
Sio kocha ni nani? United ni chama kubwa na respect na personality ya Mou imepanda juu kwa kuaminiwa tu kupewa United. Hata Guadiola pale City ni timu ya kitoto tu imechukua EPL mara moja tu, United imechukua mara ngapi? Asiye kocha anaweza pewa timu yenye history hiyo?
 
Ni kweli ndio maana mlimpa moyes
 
Ni kweli ndio maana mlimpa moyes
Yes. History ya Moyes Everton unaijua? Nani aliyeipa mataji Chelsea na kuifanya iheshimike? Nani aliipa UEFA title Inter Milan? Nani aliaminiwa na kupewa club kubwa kama Real Madrid na kuifikisha semi final za UEFA? Hivi kuwacoach kina CR7, Ramos, Luke Modr, ni rahisi? Acha kabisa Mou sio viwango vya kina Wenger sijui wa top 4 kila msimu.
 

History waachie AC Milan na Ajax Amsterdam
 
Talk about Mou. AC Milan and Ajax for what? How zina relate na Mou?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…