Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mim nashangaa sana ila nadiriki kusema yote yanasababishwa na pesa aliyonunuliwa....
Ila Mou anamuamin mpaka kufa namim bado naamin pogba ni fundi hawawez nibadilisha kwa hili
Kawaida ya mou kwanza mou mwenyewe keshakata tamaa
 
We kwani ulikua unajua mou kocha
 
Avata yako kali
 
Mimi Namuombea Dua Mou Aendelee Kubaki Man U Kwa Muda Mrefu ili Azidi Kunipa Furaha Mimi Hater wa Man U 😀 As long as Mou remain to be Your Manager the more happy I feel. 😀😀😀😀
I'm betting: After Xmass all Man U Fanboys will Admit that Mou is a short term happiness and they will protest that →→→ "Mou Must be fired"
 
 

Unapochoka kua saver lazima iokotwe kwenye net.

Misiba ikiongozana lazima ushike kichwa hakuna namna.
 
Aiseee !!! Wewe ndo umenifufua tena hapa Jukwaani pamoja na majanga yote tuliyoyapata,its okey...... Habari za siku mingi? Msimu huu Timu zako zipi au zile zile za last season?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…