Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Hujuma zao zao za kuikata makali MAN UTD zitagonga mwamba tu
Mwenyekiti wa FA ni Bernstein ambae aliwahi kuwa mwenyekiti na mjumbe wa board wa Manchester City... go figure!!
Hivi na huko haya mambo yapo? Inawezekana committee nzima FA ikakosa mjumbe hata mmoja ambaye hana mahusiano na timu yoyote ya ligi kuu?
Washiriki wa kutoa bahasha wakijadiliana ... .....
Wacheni kulialia Romney deserves what he gets ....... ......... .... ...... kwanza aliponea chupu chupu alipompiga elbow yule mchezaji kwenye premier League then anatukana watu anavuna alichopanda khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee