Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
ni kweli kabisa, naona na leo aliingia dakika za mwisho, nazani wakiweza elwana na baily utakua ni ukuta mgumu sana!!!Kama...smalling...atakuwa..vizuri...kama..last.season..basi..Blind...anakazi...
ibra ndio kapewa man of the matchNafikiri Martial &De Gea tu hawastahili kuwa Man of the match ,the rest wanastahili
Read funny chemistry jokes, puns, and riddles and find other chemistry humor.Saints wamekosa chemistry tu game wangeshinda
Kwa jinsi Blind anavyocheza ni ngumu sana kuuzwaKama...smalling...atakuwa..vizuri...kama..last.season..basi..Blind...anakazi...
Kweli kabisa, ananguvu, stamina, na anauwezo wa kudefendi na kushambulia zaidi ya yote ni msambazaji mzuri wa mipira...Pogba is enjoying playing seriously unaona kabisa his smile
leo nimejikuta nafurahi mechi kwa kweliThis is real Manchester United
Kama mimileo nimejikuta nafurahi mechi kwa kweli
japo mwishoni alikua anaruhusu mashambulizi upande wake ila jamaa yuko mzuri sana kwenye kusaidia mashambulizi!!! nadhani damiani ajichunguze vizuri!!Nadhani huyu ndio valencia haswaaa tunaemjua
Kwa jinsi Blind anavyocheza ni ngumu sana kuuzwa
Sasa kesho ni kwenda kuwacheki wenzetu kwa rahaaa kabsaa
Pale kwenye safu ya ulinzi palikuwa safi, ndio maana De gea ajapokea mipiraNafikiri Martial &De Gea tu hawastahili kuwa Man of the match ,the rest wanastahili