Hatua moja kuelekea lengo.Alikuwa de gea na sasa ni Bailly kuwa mchezaji bora wa mechi mfululizo. Ili man utd kubalance inahitaji man of the match wawe viungo na washambuliaji zaidi. Ni mtizamo tu wakuu.
Sio kumfunga mkuu ile ni kumchapa (kuanzia Cap) Bournemouth.Seriously??? ......... kwa kumfunga Bournemouth tu??!. ubingwa sio makalio.
AmeeenAllah akufanyie wepesi , urudi kwenye hali yako ya kawaida.
Mata I love you so much....please stay with us mpka ustaafu,maombi yangu kwako kila siku utakayocheza ufunge goli.[emoji120]
Kweli kabisahivi humu ndani si kuna jukwaa la chelsea arsenal man city liverpool na mengineyo sasa huo ushaur mnaotupa kwa ajili ya man utd c mpeleke kwenye team zenu mkajadiliane sio kila siku mnasajili wazee mara mou ana mipango ya muda mfupi mara pogba doesnt worth that amount....
mna mengi ya kuzungumzia team zenu mtuache tujadil team yetu na jukwaa letu
Asanteni wapendwa wangu,naendelea poa....Polee sana mkuu
Get well soon dadaangu tuenjoy
Get well soon dadaangu tuenjoy
Pole sana
Pole mtani.... Get well soonAm happy for you Man U,mmenifanya nijiskie poa Hata km niko kitandani naumwa. ..... #GGMU
Ameeen,Asante Mtani.Pole mtani.... Get well soon
Pole kwa maradhi first lady wetu mwenyezimungu akufanyie wepesi katika afya yako.Ameeen
AmeeeenPole kwa maradhi first lady wetu mwenyezimungu akufanyie wepesi katika afya yako.
Mata I love you so much....please stay with us mpka ustaafu,maombi yangu kwako kila siku utakayocheza ufunge goli.[emoji120]
Wachezaji wa utd wamejitahidi kukijaza jaza.
Msalimie MorenoPole mtani.... Get well soon
Hahaaa sawa mkuu ... hongereni kwa kuongoza ligiMsalimie Moreno
Hahah asante sana. Msalimie na kipa wenuHahaaa sawa mkuu ... hongereni kwa kuongoza ligi
Mkuu acha kuchagua watu mbona humsalimii Coutinho na Mane?Hahah asante sana. Msalimie na kipa wenu