Hahahaha mkaaga simu at workKwa mpira mliocheza katika 26min za kwanza mnatisha. Ligi yenu hii, Bournemouth hawajagusa hata mpira.
Hahahaha plz usiende mbalBounamouth wamefanya usajili gani wa kuvunja record so far
DuuhAiseee hii defence ya Man U msimuuu mlete Ronaldo,weka Messi wote wataisoma Namba
Wa francisBounamouth wamefanya usajili gani wa kuvunja record so far
Na ndio sababu tutawatandika haswa..Bounamouth wamefanya usajili gani wa kuvunja record so far