Namuhi
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,068
- 1,103
Mechi saa ngapi kwa EAT ndugu HereraArsenal siipendi, liver siitaki, mi naombea droo tu
Mechi saa ngapi kwa EAT ndugu HereraArsenal siipendi, liver siitaki, mi naombea droo tu
Morgan Schneiderlin, anatakiwa kuchukua hiyo nafasi. Nimeona news kuhusu Jose Fonte, kutua Manchester United huyu mkongwe anafaaa kucheza na vijana pale nyumaCarrick sina imani naye sana.
3:30 kwa saa za Africa Mashariki.Mechi saa ngapi kwa EAT ndugu Herera
Asante,3:30 kwa saa za Africa Mashariki.
Jose Fonte anatoka timu ipi?Morgan Schneiderlin, anatakiwa kuchukua hiyo nafasi. Nimeona news kuhusu Jose Fonte, kutua Manchester United huyu mkongwe anafaaa kucheza na vijana pale nyuma
Usihoji ukweli. Teh! Teh! Teh!Leo naona kama kuna kipigo cha mbwa mwizi vile..
Sijui kwanini nawaza hivi.
Saa 9 na nusu AlhasiliAsante,
Ila kwa hiyo ya kiswahili au kwa lugha ya malikia?
Southampton....Jose Fonte anatoka timu ipi?
Tuna lisaa hivi kabla dunia haijajua mwelekeo msimu huu.Saa 9 na nusu Alhasili
Asante Mkuu.Saa 9 na nusu Alhasili



ni mourinho kapanga kikosi auItakua saa tisa na nusu kakaMechi saa ngapi kwa EAT ndugu Herera