Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hivi kweli??! viera na zizuu unawafananisha na huyo Pogba?? wakati hajafikia hata nusu ya kiungo wa kauzu fc ...........


mtufunge kwa kocha gani?! huyo saa mbovu" msimu unaokuja mkitufunga nitatembea uchi kuanzia ubungo mpaka posta.
Ok, maneno yako tunayaifadhi.
Najua wewe ni shabiki wa Chelsea.
Noted
 
Mi nawapa pole hawawezi kurudi yena kileleni mourinho sio kocha wa kuwarudisha kileleni
 
Tunakusubiri december hapo si mbali
 
Footbal talent Derivery matter Ata uwe na miaka 50 lakin pogiba hamna kitu pale
 
Ahsante kwa kutupa pole lakini timu hii kipaumbele chake ni mafanikio ndo maana ni Liverpool ndo wamechukua UCL mara nyingi zaidi yetu ila tizama vikombe vingine vyote tunaongoza sisi.
Kwa sasa mnafanya nini recover?? Au immedietly recovery kama ya LVG
 
Ni vugumu sana club zingine kama liverpool na arsernal kufanya kama tunavyofanya sisi, hizo hela za kuvunja record ya Madrid hawana. Mnabaki kuiponda utd coz hizo hela hakuna . we ar the glory hunters .
 
Mi nawapa pole hawawezi kurudi yena kileleni mourinho sio kocha wa kuwarudisha kileleni


Kocha wa kumfananisha nae pale epl ni pep tu hayo maneno yako unayapa ushahid gani kama sio kocha mwenye mafanikio? pele hakuna hata kocha aliebeba eufa champions ligi halafu uje na huo utabir wako mbaazi zikikosa maua husingizia jua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…