Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi adui yako akikosea si ndio unatakiwa ufurahi? rubaman kwanini unaumia na matumizi mabaya ya man utd? Mimi nimefurahi sana kuona mnaendeleza tradition kumsajili Takuma, whatever his name is.
Mahaba ya ajabu hayo unaanzaje kumpenda adui yako na kumshauri kuwa kapotea ?jamaa wanaugua sana hasa wakifikiria timu yao inavyochechemea. Sijui ni tetesi nasikia wanafanya maongezi na Evans sasa hicho ndio kiwango chao.
 
ImageUploadedByJamiiForums1470782612.026477.jpg
 
chezaji linakimbia kama lina mawe miguuni bado unalinunua kwa mihela yote hiyo ..............
 
Kumshawishi mtu aje kucheza Europa kutoka moja wapo ya big 4 teams in Europe unafikiri bila kumpa hela nyingi utampa BTW man u hawana kingine cha ku-offer zaidi ya pesa
 
chezaji linakimbia kama lina mawe miguuni bado unalinunua kwa mihela yote hiyo ..............
Wivu unakusumbua mkuu,
Ukiwa na hela hata malaya utamnunua kwa laki wenzio wanaopoa kwa buku 10,

Wacha ela iseme yake kazi yetu kujadili tuu.
 
Kumshawishi mtu aje kucheza Europa kutoka moja wapo ya big 4 teams in Europe unafikiri bila kumpa hela nyingi utampa BTW man u hawana kingine cha ku-offer zaidi ya pesa
Man U ni klabu kubwa na tajiri,, acha kutokuwepo kwake yuefa kubwa Pogback angeweza pata ofa kubwa zaidi ya hiyo ya mani yuu na timu kama aseno, liva na nyinginezo na akakataa vilevile,
Askwambie mtu kucheza mani yuu kuna raha yake pia. Na ndio timu inayoongoza kwa kutazamwa zaidi duniani,
 
Back
Top Bottom