Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Unaongoza kuifatilia Man Utd zaidi ya timu yako.![]()
nimepita tu kuwasalimia maana ligi inakaribiaUnaongoza kuifatilia Man Utd zaidi ya timu yako.![]()
nimepita tu kuwasalimia maana ligi inakaribiaWakuu hongereni kwa kuvunja rekodi za usajili vipi huyu ataingiza ngapi wiki ya kwanza ya mauzo ya jezi?
Punguza kututaja basi

![]()
![]()
![]()
nimepita tu kuwasalimia maana ligi inakaribia





Kitu cha msingi ni klabu inaingiza fedha nyingi mpaka inaweza kumnunua mchezaji kwa hiyo hela.Bei ya Sterling na Mangala (49+42=£91m wote magalasa) ni kubwa kuliko aliyonunuliwa Pogba
Naskia mnakaribia kumsajili legend wetu John Evans
Punguza jazba mkuu hivi benteke kishaanza mazoez mana cadiff walitia ofa pale![]()
![]()
![]()
yupo yupo hatujapokea bid kubwa tunataka ile 32 irudi ... tutampeleka U23

![]()
yupo yupo hatujapokea bid kubwa tunataka ile 32 irudi ... tutampeleka U23
![]()
![]()

Hahaaa kumbe na wewe unaifatilia timu yetu kwa karibu sana kimya kimyaSijaona comment yako kwenye ule uzi wenu,hamia uku tu.![]()
Hahaaa kumbe na wewe unaifatilia timu yetu kwa karibu sana kimya kimya




Kweli wewe MSAGA SUMU huchoki!Since SAF aondoke mnatumia pesa kama vile dunia itakwisha leo. Vijana pia huwa mnajipa matumaini ya kurudi kileleni mwishoni mnaangukia pua. Huyu dogo anaweza kuwa kama Di Maria aliyenunuliwa kwa pesa nyingi akashindwa ku-shine mwishowe akauzwa kwa hasara. Big transfer players huwa wanakuja na big egos, I hope his egos and Mourinho's wont crash.
Evans atakuwa Tony Adams wa pili. Subirini.
Kama Welbeck alivyokuwa Henry wa pili






Welbeck kawa wakucheza mechi 2 kwa mwaka.Kama Welbeck alivyokuwa Henry wa pili
Ni mafundi tu huwa wanapewa jezi namba 10 kwenye club zao....
Who is he?Gerard Houllier on Manchester United: "It's no longer a club. It's a factory."