Binafsi namuona marcus rashford kwa jicho la tatu , huyu dogo akiendelea kupewa nafasi ni mkali sana.. Dogo ana uwezo, speed anajua kujipanga... Man u hawajakosea kumuongezea mkataba... Naamin yupo ndan ya mipango ya mourinho
Mkuu nilikua nimewekwa kati na washabiki wa arsenal, nilisemwa sana tulivopigwa goli la pili, nikataka kukimbia wakanikamata, baada ya goli kurud na ushndi juu wakaanza kutafutana..
A failure will always dream of moving mountains without consider way to and challenge he will face.... Worse part is easy for a failure to think he can build a castle for a lite amount