Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Baada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili
Unakujua anakostahili kuwepo man u?Baada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili
Baada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili
No admit kua man watajuta kpeleka oT mourihnoBaada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili
Si lig daraja la 2Unakujua anakostahili kuwepo man u?
Basi sawaSi lig daraja la 2
Acha niamini wewe si mshabiki wa Arsenal........Baada ya misimu miwili Manure watashuka daraja. Hawajajifunza kwa Chelshit bado. Mouthrinho sio wa kuamini kabisa for long term investment. Atakupa vikombe kadhaa, then anakurudisha unakostahili
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure
Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho
So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil
bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil
Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??
£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi
My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili
What's the fuss with Martial?!?
Has he (personally) said to be saddened with jersey no. 9 taken from him?
On a serious note, at Man United jersey no. 11 is way legendary than no. 9. So, I wonder where this story is coming from? I believe is a social media created fuss.
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure
Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho
So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil
bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil
Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??
£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi
My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili
Hakuna Tatizo ni opinion tu....Ila huyo wakala ni Greedy hatari na bora manure wamchukue Braise matuidi hizo pesa wanazotaka hao jamaa ni nyingi sana na inakuwa ComplicatedMkuu mbona swala ili la pesa ya Pogba lishajibiwa humu kitambo, na jibu lilikua rahisi sana mkuu "vipi hiyo hela inatoka mfukoni kwako au unapungukiwa nini akinunuliwa kwa gharama kubwa..??"
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure
Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho
So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil
bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil
Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??
£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi
My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili
Kocha anamtaka Pogba na klabu inayo hela ya kumnunua ,sasa unataka Matuidi asajiliwe na nani ? Pesa sio issue kwa Man UnitedHakuna Tatizo ni opinion tu....Ila huyo wakala ni Greedy hatari na bora manure wamchukue Braise matuidi hizo pesa wanazotaka hao jamaa ni nyingi sana na inakuwa Complicated
Afu pressure atakayokuwa nayo Pogba itakuwa beyond madness
Pricetag inaletaga extra pressure kwa mchezaji maana expectation inakuwa kubwa sana kwake....
Mmh...Oi..jamani hivi mechi ya ufunguI..Ngao ya hisani ni nani na nani....??
Vibonde lecister city sijui watakuwa na akina nan..cio nyie ndezi man u kweli au....FA ci mlichukua...?? Hapo lazima mnawaka kama 3:0 hivi...wale vijana nawakubali sana wanapiga mpira hatare sanaa.....unajua wapo kwenye form....
Binafsi nawakubali kama mshabiki wa mpira au nyie mnasemaje ...si wataifunga man u...NGAO YA HISANI lazima waipige manureeeeeee
Nimesoma UPDATE ya Deal la Paul Pogba kuja Manure
Fee yoyote manure watakayokubaliana lazima wamlipe Wakala wake mino Riola £20mil nje ya Fee ya Uhamisho
So kama Manure wata agree mfano £100mil ukijumlisha na £20mil jumla manure mtalipa £120mil
bado kuna Add on ikiwa Pogba atashinda Ballon d'or kama £8mil
Pesa hizo zote kwa kipi alichonacho Huyo Pogba??
£30mil zingetosha kumpata Ng'olo Kante au £20mil kwa Braise Matuidi
My opinion: Hii deal ya Pogba ni Beyond a Joke....nakubaliana na Paul scholes kwa hili
Oi..jamani hivi mechi ya ufunguI..Ngao ya hisani ni nani na nani....??