
Haya na nyie hongereni kwa maneWakuu hongereni (kwa Ibra) naona mnafanya usajili makini sana ....![]()
![]()
Ninacho mpenda rojo kwanza ana ipenda club na masuala ya kuwa form angempa mudaKweli kabisa man, nina imani bado na rojo japokua kuna baadhi ya mechi alikua anazingua kinoma, kwangu mm ni ngumu kum-judge mchezaji maana kocha mwenyewe tuliekua nae lilikua tatzo,
Welcome @Ibra_official .haters tells us that you only score against farmers, so scoring against Arsenal will be easy,just ask Rashford.Zlatan anakuja OT![]()
Yaani giggs kachukua EPL nyingi sawa na klabu ya Arsenal, tangu kuanzishwa kwake
Hahaaaa sawa mkuu naona umefanya 'tit for tat'Haya na nyie hongereni kwa mane

Mi naona km man u tumepoteza uwezo wa kufanya biashara ktk usajili na inabid kujipanga vema upya. Kwa mimi Mkhitaryan ni mchezaji mzuri,ila kumnunua mchezaji wa aina yake kwa euro 38mil huku akiwa amebakiza mwaka mmoja ktk mkataba wake ni matusi kwa Man u!
Wakuu hongereni (kwa Ibra) naona mnafanya usajili makini sana ....![]()
![]()
Tearing you apart since 1991. He is a living legend!!LEJENDARI RYAN GIGGS - Baada ya mpaka 29 hatimaye lejendari Giggs anaondoka man u.
RIPOTI zimeibuka kuwa Ryan Giggs ataondoka Manchester United baada ya kukubaliana na uongozi.
Man United inatarajiwa kutoa Taarifa rasmi hapo baadae.
![]()
Tunamtakia maisha mema nje ya OT ni mpiganaji wa ukweli mchango wake hauta sahaulika.Tearing you apart since 1991. He is a living legend!!