Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Hahahah yote magarasa Yale.Mkuu tumesajili wachezaji karibia wote wakali ..... lakini klabuni kaja1 usiyemfahamu
Eric Bailly utakubali tu.
Hahahah yote magarasa Yale.Mkuu tumesajili wachezaji karibia wote wakali ..... lakini klabuni kaja1 usiyemfahamu
Editing hahahah. Acha wivu basi
Oooh Asante sana ngoja nikaisake....Kuna clip moja inasambaa kwa kasi sana FB nimejaribu kuinyofoa nimeshindwa.!!
Kama una account Fb sach jina la Ackbely Mbyellah jamaa kaishare Utaona. Kifupi Dogo yuko vizuri sana. Ni namba nne bomba kabisaaa, Hii itakuwa Bonge la Combination sambamba na Smalling.
Ukuta huu ninaimani utafikia kiwango cha ukuta wa VIDIC NA FERDINAND enzi za Babu.
BACK TANGANYIKA
Nick Powell tuliwahi kuaminishwa eti ni " new Scholes " Kila la heri kwake!Nick Powell & Victor Valdes have been released by Manchester United after their contracts expired
Hizi game hapa lazima zitabadilishwa kutokana na europa
Ila tusidharau hivi vi timu vidogo hivi vina sifa sana ......mimi naomba biashara iweee mapema asubuhi asubuhi tuzikusanye tatu zetu kila mechi tukikutana na vigongo huko mbeleni isiwe tabu sana.Ilitakiwa tuanze na mechi ngumu kabla ya chrismass.