MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Mata anaweza akawa mchezaji wa kwanza kabisa kuondoka UNITED summer hii.Kwa kweli Jose mwenyew ndo ata amua
Ila mata ana kaz ya ku mprove jose wrong
Ubaya ni kuwa aliondoka kwa technical reasons na ndo mimi na wait apa movie hiii
But lets wait and see..