Naona ban imeisha ,karibu tenaif you're insulting Wenger because Zidane won the UCL, then you must insult your dad whenever you see a younger man richer than him
"Robert Mugabe 30 seconds ago"
Mimi ni Fc Barcelona Mabingwa wa dunia Msimu huu niko vbaya ila nimechukua ndoo mbili sasa nyie ndani ya miaka mitatu mna makombe mangap?Naona ban imeisha ,karibu tena
Barcelona hawana mashabiki wanaopayuka kama weweMimi ni Fc Barcelona Mabingwa wa dunia Msimu huu niko vbaya ila nimechukua ndoo mbili sasa nyie ndani ya miaka mitatu mna makombe mangap?
ambao hawapayuki wana alama gani ? TUKUTANE UEFA MAJAALIWA 2018 kama YokobusBarcelona hawana mashabiki wanaopayuka kama wewe
Mourinho amesaini mkataba wa miaka 3 kuna option ya kuongeza mwaka 1,Dunia ya sasa wengi wanapewa miaka 3 then wanaangalia progress .Pia Man United walijifunza baada kumpa Moyes mkataba mrefu na akachemka mapema
Not gonna happen, Cant see him joining Mourinho.Sevilla sporting director Monchi is set to leave Sevilla & could join Manchester United as director of football.
Jamaa yupo vizuri sana upande wa biashara nasikia kishaondoka tayari sevilla ila tunakabiliana na compettion kutoka madrid.Sevilla sporting director Monchi is set to leave Sevilla & could join Manchester United as director of football.
Not gonna happen, Cant see him joining Mourinho.
Lol, ila itauma sana akija United Aisee..
He's Genius.
Emenalo walikua hawapatani na Mourinho kutokana na ukaribu aliokua nao Emenalo na abromovic na kujiona yeye ndio bosiUnited kwa sasa wanataka kubadilisha mfumo wa uendeshaji baada ya kuona Woodward anapata shida mambo ya usajili.Kuna tetesi mwezi uliopita United walimu-approach Andrea Berta (Atletico Madrid ) aje kuwa Sporting Director akakataa jana Monchi ameresign kuna possibility ya kutua United au Madrid.Moja ya vitu vilivyochangia Mourinho kufukuzwa ni yule mnaija Michael Emenalo ambaye alifanya usajili mbovu sana msimu uliopita
Monchi angefanya vizuri sana United kama mngekuwa na managers kama Simeone, Emery, Poch, Aleggri and even Conte. Lakini chini ya Mourinho i doubt kama kutakuwa na mafanikio sana coz Monchi is not a fan of "big money signings" contrary to Mourinho.United kwa sasa wanataka kubadilisha mfumo wa uendeshaji baada ya kuona Woodward anapata shida mambo ya usajili.Kuna tetesi mwezi uliopita United walimu-approach Andrea Berta (Atletico Madrid ) aje kuwa Sporting Director akakataa jana Monchi ameresign kuna possibility ya kutua United au Madrid.Moja ya vitu vilivyochangia Mourinho kufukuzwa ni yule mnaija Michael Emenalo ambaye alifanya usajili mbovu sana msimu uliopita
Monchi angefanya vizuri sana United kama mngekuwa na managers kama Simeone, Emery, Poch, Aleggri and even Conte. Lakini chini ya Mourinho i doubt kama kutakuwa na mafanikio sana coz Monchi is not a fan of "big money signings" contrary to Mourinho.
Nadhan baada ya kuchua ubingwa pale Chelsea last season, Mourinho akaona hakuna haja na kuongeza zaid wachezaji wa maana zaidi ya squad players, mwenyewe alinukuliwa akisema Kikosi chake kipo imara na hakihitaji nyongeza ya Top class players, ndo maana ile summer wakaamua zaidi kubase na squad players (2nd and 3rd choice players,) Pedro, Baba, Begovic, etc.
Lakin kwa hapo United na katika msimu wake wa kwanza ni Lazima he will go for big money signings, na kukosekana kwa UCL kunamaanisha Power ya United katika Pesa ndiyo itatumika zaidi, so expect 2-4 big signings summer hii..so idea ya Monchi haingii hapo, anaamini sana katika projects, ukinambia ataenda wapi kati ya Madrid na United, my bet itakuwa Real madrid, coz expectations ni ndogo kuliko United, Mou sidhani kama atahitaji "project signings".. na kama atataka kufanya biashara na Sevilla basi ni kwa ajili ya Krycho ambaye he wont leave for Cheap, wakat Monchi atakwambia kuna kina Krycho wengine kwenye league za Serbia, poland etc..
Yeah Berta ni Genius too sana sana katika upande wa negotiations and you can see why Mou alikuwa anamuhitaji BUT Monchi ni mzuri katika kutafuta talents na katika business (can see madrid wanamuhitaji kwasababu ya hii) ni kama Zorc wa Dortmund.Chaguo la Jose lilikuwa ni Andrea Berta ambaye ni rafiki wa Jorge Mendez ambaye anajua ku-negotiate na kupata wachezaji wengi wa South America wanaopitia Portugal ambao recently United wamepata tabu kuwasijili enzi za SAF yule assistant alimsaidia kuwasajili kina Nani,CR7,Anderson
if you're insulting Wenger because Zidane won the UCL, then you must insult your dad whenever you see a younger man richer than him
"Robert Mugabe 30 seconds ago"
Respect mkuu MosDef. wewe ni bonge la soccer analyser aisee. Salute, ulichokiandika ndio ukweli wenyewe.Monchi angefanya vizuri sana United kama mngekuwa na managers kama Simeone, Emery, Poch, Aleggri and even Conte. Lakini chini ya Mourinho i doubt kama kutakuwa na mafanikio sana coz Monchi is not a fan of "big money signings" contrary to Mourinho.