Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mouthrinho atawajengea misingi imara? LMAO! Hajawahi kujenga misingi imara. 10 Reasons Mourinho won't do well at Man Utd

We are sick and tired with coaches ambao ni wazee wa transitional period they keep saying that kila msimu and we are struggling to reach 4th place miaka miwili no philosophy no first 11 inayoeleweka tunababisha mpk usajili...we need someone who will come in and say I wanna win a league and not I am here to build a team we are in transition period....that is not Manchester's way tulishapita kipindi hicho 1989/90 season...we need a team by its look tu unajua they are in for trophies, team yenye wachezaji wenye njaa ya mafanikio, wako tayari kufia team, team ambayo ikikutana na team ndogo mtu anakula saba...and the right person for that job is MOU period !!
 
Kwa maelezo hayo upo sawa, and Mourinho is just good at that.
 
Nimejikuta naangalia clips za zamani kuna moja ya mwaka 2001 tunampa arsenal 6 kwa moja wale wanaume wa shoka teddy,ole gunah,Yorke pale kati Keane ggigs scholes na bekham nimekumbuka mbali
 
Hivi huyo aliyezichambua hizo sababu naye ni mbongo? Kiongozi umekosa hoja. Ni kweli zimeandikwa na binadamu, lakini football pundits wanatofautiana pia, ndio maana tunapata habari toka kwa vyanzo tofauti.

Ungesema ni hoja gani kati ya hizo kumi haina mashiko ningekuelewa.
Mkuu hayo ni mawazo yake na hayatupi jibu la moja kwa moja, tatizo langu hapa ni ku-rely on his thoughts je za kwako zipo wapi kama mpenzi, mfuatiliaji na mchambuzi pia wa soka, yeye kawaza hivyo lakini haitupi the final conclusion kwamba ipo hivyo kama sababu kumi mourihno itamshinda OT,

wewe pia umechukua kama zilivyo copy and paste and that is what wabongo sisi we are best at, na umetaka kuaminisha jopo la wadau na wapenzi wa Man U kama ndivyo ilivyo na nianguko kumchukua mourihno,

kuna hoja nimeona hapo eti antonio na pepe ni makocha wakipewa kazi huwa hawabadilishi chochote katika style na tactics walizozikuta kwenye vilabu wanavyohamia wanachofanya ni kuendeleza kuliko mourihno who is complete changing everything punde akihamia sasa mimi nauliza tu umepewa timu labda ni mbovu kwanini usibadilishe mifumo uwanze na styles zako kama kweli wewe ni professional coach hii ilikuwa ni moja ya criticism juu ya hizo ten reasons mourihno ni outfit Man united, kila mtu atasema lake....
 
456a2d4727379f9d7b8e23c08a1d1ea4.jpg

In 2011, Manchester United beat Arsenal 2-0 in the FA Cup with 7 defenders in their Starting 11! #SAF
 
kumbe nalo linahesabika? Hongereni kaka mlishafanya Tayari parade?

Shekh mi ni moja ya watu wanaoelewa sana kazi ya mou, soon itakapokua confirmed I think I'll be over the moon, ilifika kipindi hadi nikamkumbuka Moyes

Nakumbuka FA tulivyobeba back to back mliongoza kwa maneno ya kwenye kanga kua ni kombe la kuku ila leo mmesahau na mnatangaza ubora wa FA mpaka naishia kucheka.
Ngao ya Hisani pia ndio yalikua mafanikio ya Moyes nakumbuka na mlipiga kelele kua mmeanza vema na picha zikasambaa mkiwa mmebeba ila akichukua Arsenal mna-diss mtafangua pazia la ligi na Lei najua mkichukua mtakua hapa tena kutangaza ufalme kama LVG na pre-season success,tuacheni unafiki kidogo kama mnavyotamba na FA kila social networks wakati mlikua mnaponda basi mtarudi na ngao ya hisani.
 
Record ya Mou against AW nadhan unaijua...
Sasa tutanza kujihakikishia point zetu sita kwa tawi letu la zamani...

Wapenzi wa Mourinho utawajua tu. Angalieni msije kupeperusha bendera na mabango ya kumtimua Maureen (kocha mbabaishaji,mjanjajanja )kama mlivyofanya kwa LVG
 
Nakumbuka FA tulivyobeba back to back mliongoza kwa maneno ya kwenye kanga kua ni kombe la kuku ila leo mmesahau na mnatangaza ubora wa FA mpaka naishia kucheka.
Ngao ya Hisani pia ndio yalikua mafanikio ya Moyes nakumbuka na mlipiga kelele kua mmeanza vema na picha zikasambaa mkiwa mmebeba ila akichukua Arsenal mna-diss mtafangua pazia la ligi na Lei najua mkichukua mtakua hapa tena kutangaza ufalme kama LVG na pre-season success,tuacheni unafiki kidogo kama mnavyotamba na FA kila social networks wakati mlikua mnaponda basi mtarudi na ngao ya hisani.

Carling Cup na FA Cup ni makombe ya mbuzi kwa timu kama Arsenal na Man United hiyo ni fact ,Arsenal hawajachukua ubingwa wa EPL now miaka 12,kikosi cha sasa hakina mchezaji hata mmoja aliyewahi chukua EPL akiwa Arsenal
 
wote hapo wanacheka ila anayecheka sana ndio atachukua kombe next season
Kwangu mimi naona Mauricio Puchettino wa spurs atawazidi hao wote hapo next season. Ana kikosi bora kabisa. Timu imekaa pamoja kwa muda mrefu hivyo wameshaelewa mbinu za coach wao. Wanauwezo wa kuongeza world class players tofauti na united na chelsea. Wao watapata shida kodogo kwa kuwa hawashiriki ucl.
 
Mpira siku hizi ni pesa kumbuka kuna wachezaji wameondoka ulaya wameenda kucheza ligi ya China.Licha ya kucheza Champions league Spurs hawawezi kushindana na Chelsea/Man United kupigania wachezaji
 
Back
Top Bottom