Manchester United (Red Devils) | Special Thread

jiandae kushindia maharage week nzima, hela za saloon mapema anza kuweka booking kwa mchepuko, mnaishi zizi moja ama yeye yupo mbali nauliza tu maana
ila uzuri hana ushabiki wa kivileeee Yeye muziki sana kama sasahivi ndo kaitupa kabisa kasema eti ushabiki wa damu nauweza miye, Juzi kanichekesha eti ligi imeisha ngoja niivae jezi yangu,hiyo Jezi nilimpa zawadi last season walivyoshinda Basi niliichapa jina lake anasema angalau hii inanifariji....... nitamuhamisha ahamie Man U
 
Next Season

13230345_1141074445913000_2400042366185545275_n.jpg
 
13254448_493802724144336_6710192034119898_n.jpg

TETESI: Zlatan Ibrahimovic kutua Old Trafford kama kocha msaidizi wa Mourinho
Zlatan Ibrahimovic yupo mbioni kutua Manchester United kuwa kocha msaidizi wa Jose Mourinho anayetarajiwa kuwa meneja wa klabu hiyo kwa mujibu wa chanzo cha Sweden Aftonbladet.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Sweden ataondoka Paris Saint-Germain majira haya ya joto na Manchester United ndio wanaopewa nafasi kubwa kuipata saini yake.

Kama habari hizi ni za kuaminika Ibrahimovic atakuwa moja ya wakufunzi katika benchi la ufundi litakalokuwa chini ya Jose Mourinho.
TOA MAONI YAKO
 
Huyu aliyewaitaga Chelsea watoto zitaiva kweli .... Giggs anatakiwa abaki kwa gharama yoyote Ile huyu anatakiwa kuwa our future coach ............ hapo kwa Zlatan sijapenda sana.......... kama itakuwa hivyo Basi no way..
 
Kocha alie ifikisha team nafasi ya 5 akabeba na FA anafukuzwa ana ajiliwa Kocha alieiacha team nafasi ya 16 teh teh huu ndo mpr bana una falsafa zake ukizichambua ukiwa na akili za kitwanga lazima uumbuke
 
Huyu aliyewaitaga Chelsea watoto zitaiva kweli .... Giggs anatakiwa abaki kwa gharama yoyote Ile huyu anatakiwa kuwa our future coach ............ hapo kwa Zlatan sijapenda sana.......... kama itakuwa hivyo Basi no way..

Mkuu shituka hilo ni dongo..!!

Ibra umri unemtupa mkono. ujio wake hapa UTD itachukuliwa ni sawa na mtu anayekuja kuchukua kozi ya ukocha ingawaje makusudio ni kuja kucheza... Jamaa karusha kinywa hapo. muelewe!!

Nitalaani sana kama Ibra atatua utd..
Halafu ninachujua na kuamini, kamwe Gigs hawezi kufanya kazi na Mou Atajihisi kudharauliwa. Mou akithibitishwa tu hapa OT basi ndiyo siku ambayo Gigs kwa mara ya kwanza atatafuta mlango wa kutokea hapa OT...!!!

Sioni ni njia gani itatumika kwa watu hawa kufanya kazi pamoja

BACK TANGANYIKA
 
13254448_493802724144336_6710192034119898_n.jpg

TETESI: Zlatan Ibrahimovic kutua Old Trafford kama kocha msaidizi wa Mourinho
Zlatan Ibrahimovic yupo mbioni kutua Manchester United kuwa kocha msaidizi wa Jose Mourinho anayetarajiwa kuwa meneja wa klabu hiyo kwa mujibu wa chanzo cha Sweden Aftonbladet.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Sweden ataondoka Paris Saint-Germain majira haya ya joto na Manchester United ndio wanaopewa nafasi kubwa kuipata saini yake.

Kama habari hizi ni za kuaminika Ibrahimovic atakuwa moja ya wakufunzi katika benchi la ufundi litakalokuwa chini ya Jose Mourinho.
TOA MAONI YAKO
Sasa huyu anamzidi nini Giggs....
Ni kheri ya Giggs maana yeye anaijua vema falsafa...ya club...
 
13254448_493802724144336_6710192034119898_n.jpg

TETESI: Zlatan Ibrahimovic kutua Old Trafford kama kocha msaidizi wa Mourinho
Zlatan Ibrahimovic yupo mbioni kutua Manchester United kuwa kocha msaidizi wa Jose Mourinho anayetarajiwa kuwa meneja wa klabu hiyo kwa mujibu wa chanzo cha Sweden Aftonbladet.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Sweden ataondoka Paris Saint-Germain majira haya ya joto na Manchester United ndio wanaopewa nafasi kubwa kuipata saini yake.

Kama habari hizi ni za kuaminika Ibrahimovic atakuwa moja ya wakufunzi katika benchi la ufundi litakalokuwa chini ya Jose Mourinho.
TOA MAONI YAKO
Muda wa tetesi umeanza. Tutasikia mengi kuhusu man u.
 
ila uzuri hana ushabiki wa kivileeee Yeye muziki sana kama sasahivi ndo kaitupa kabisa kasema eti ushabiki wa damu nauweza miye, Juzi kanichekesha eti ligi imeisha ngoja niivae jezi yangu,hiyo Jezi nilimpa zawadi last season walivyoshinda Basi niliichapa jina lake anasema angalau hii inanifariji....... nitamuhamisha ahamie Man U
Hahahaha dah he is so romantic ma bro in law, anajuwa kucheza na hisia zako vizuri,
 
Katika habari iliyonikera msimu mzima basi ya mourinho kutua man u, bora angebaki rais wa Korea ya kaskazini na panki Lake ila sio mourinho
 
FOOTBALL NEWS

23/05/2016 20:30, Report by Communications Department

LOUIS VAN GAAL LEAVES MANCHESTER UNITED

(NYSE: MANU) Louis van Gaal is to leave Manchester United, with immediate effect.

Executive vice chairman Ed Woodward said: "I would like to thank Louis and his staff for their excellent work in the past two years culminating in winning a record-equalling 12th FA Cup for the club (and securing him a title in four different countries). He has behaved with great professionalism and dignity throughout his time here. He leaves us with a legacy of having given several young players the confidence to show their ability on the highest stage. Everyone at the club wishes him all the best in the future."

A decision on a successor as manager will be announced soon.
 
Back
Top Bottom