Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna watu wanaokufanya wanaipenda man u na kutushauri na ku tulaumu kwann tumemfukuza lvg, tuacheni na timu yetu

Kumbe naeza kuwa nawaelewsha mashabiki wa loserfools apa

Wasinchoshe
 
Giggs amekataa mwenyewe ila
Kuna ki website kime sema alihakikishiwa kaz ila aka goma

Naye hajapenda nadhan kuja kwa Mourinho
Duhh!!!! Kama hizi habari ni kweli Giggs kagoma aiseee itakuwa huzuni sana kwangu, ila niko positive na ujio wa Mou siwezi hukumu kabla sijaona akitutendea kitu gani, najua watu hubadilka kadri muda unavyobadilika na mazingira yanavyobadilika..................Welcome Mou at OT na jiskie uko nyumbani kwako kuleeee wapi tena ahhhhh Ureno .
 
8498990d0449690ff88d2122807ea75a.jpg
 
Duhh!!!! Kama hizi habari ni kweli Giggs kagoma aiseee itakuwa huzuni sana kwangu, ila niko positive na ujio wa Mou siwezi hukumu kabla sijaona akitutendea kitu gani, najua watu hubadilka kadri muda unavyobadilika na mazingira yanavyobadilika..................Welcome Mou at OT na jiskie uko nyumbani kwako kuleeee wapi tena ahhhhh Ureno .
Mtani umebadili avatar nikakusahau kabisa hahahaha, maoni yako juu ya mourihno upo positive tusubiri aanze kazi...
 
Mtani umebadili avatar nikakusahau kabisa hahahaha, maoni yako juu ya mourihno upo positive tusubiri aanze kazi...
Hahahahha mtani bado nalichekelea kombe letu la mbuzi halafu mwakani tunapata kombe la Ng'ombe
 
kombe la ng'ombe nimelimiss sana aiseeeehhh.... but sijafurahia sana ujio wa "the special one"
Mkuu ukiwa unachukizwa na mambo mazuri nakuwa kama sikusomi vile, club lazima ifanye changes to bring more success.......tangu babu Ferguson kutuaga club haijafanya mazuri zaidi ya kutumia pesa tu bila kukuza mapato...mpira ni uwekezaji mkuu kama unavyo wekeza kwenye biashara yotote kwa kutegeme faida
 
Van Gaal will leave mufc with a pay-off of £4,554,000, plus a £400,000 bonus for winning the FA Cup.
 
Man U -FA Cup.
Man City - Capital One.
Leicester City - Premier League.
Arsenal - " We finished above spurs and Manchester"

ImageUploadedByJamiiForums1464024070.893490.jpg

Inawezekana umepitiwa mtani au ushabiki tu ila huu mzigo tulikabiziwa pale Wembley wakati tunatoa bikra huu msimu ambao wewe utakua na ukaribu na siku ya ALHAMISI.
Hongera kwa kumfukuza LVG naamini kiu yako imekwisha rasmi na nikupongeza kwa kumsogeza Mourinho(kama tetesi zinavyozagaa) ingawa sijajua msimamo wako kwa msema ovyo,hongera kwa ku-level up FA cup umestahili pia.
 
kombe la ng'ombe nimelimiss sana aiseeeehhh.... but sijafurahia sana ujio wa "the special one"
Aiseeee ulibaki wewe kutokea hapa karibu sana..... tusihukumu sana pengine atatuprove wrong na usisahau tuna vigezo na masharti yetu atanyooka tu.....
 
Back
Top Bottom