Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamani, hivi matumizi sahihi ya ander herrera pale united chini ya lvg ni yapi? Binafsi namkubali sana huyu dogo kama atapewa muda mwingi wa kuchezea dimba. Ujinga wa lvg ni kuibua vipaji vya chekechea ilhali waliopo bado hawapewi nafasi ya kutosha kabisa
 
Akiondoka LVG naomba apewe timu Banitez

Yule hana tofauti LVG, ni muharibifu balaa!!!

Nyota anayosafiria hii leo ni ya Liverpool nayo ishachuja kitambo sana, ndiomaana anakubali kufanya kazi na timu zinazoelekea kushuka Daraja.

Kwa kocha anayejitambua na mwenye CV kali hawezi kujishusha thamani kihivyo. Angalia kote alikopita Banitez baada ya kufanya vizuri na kuchukua UCL pale Liver, kote kaboronga mbaya sana. Falsafa yake haieleweki hata kidogo

Akazane tu kipandisha ligi kuu Newcastle yake, MAN U mziki mneme bhanaa

BACK TANGANYIKA
 
3012c94bc2b079d63564eb3b68d8422c.jpg


Kitambo sana hili kombe.
 
Back
Top Bottom