Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,371
Yaani leo raha tuuuuu..... aiseeee hadi wewe umekuja asante FA cup leo nitawaona wanazi wote humu[emoji23] [emoji23]
Am always on your side.......[emoji13] [emoji13] viva Man U,Kweli wewe unahitaji kiroba maana uchungu ulionao hautakutoka mapema bila kiroba.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi mtani ulikuwa upande Wangu au CP?
Liverpool fainali mbili holaaaa
Umesahau alivyoipiga madongo Arsenal baada ya kubeba hili kombe vs Hull City (Reading) misimu miwili iliyopita?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oohhh Asante sana.....Waiter eeeeeeeeee Muongeze nyingineeeeeee.......#GGMUAm always on your side.......[emoji13] [emoji13] viva Man U,
Yaani karibu sanaaaaaa Weitaaaaaa Muongeze huyu kitwanga mbili....hivi si tumeshinda mbili ? Haha weita hakikisha zinakuja mbili mbili kila saaa[emoji23] [emoji23]Hahahaha [emoji23] haya ila hata mie si naruhusiwa kuhudhuria sherehe ya majirani [emoji28]
Moyes alichukua community shield auKocha wa kwanza kutwaa kombe baada ya kustaafu sir alex kishaweka rekod lvg
Duhhh!! Pole sana mpka sasa inaonekana tayari ndani ya nyumba, itabidi tu ukubali kaka yangu; tulimpokea Moyes,kisha LVG hata Mou mpokee tu umdhaniaye siye anaweza kutuprove wrong, people change as time change ......Kama kweli mpiga domo Maureen ataenda Man United, siku na furaha yangu ya leo itakuwa imeharibika....
Yaani kipindi hiki cha kuvalia suti huwa kinanimaliza,aiseee wamependeza sana
Yaani karibu sanaaaaaa Weitaaaaaa Muongeze huyu kitwanga mbili....hivi si tumeshinda mbili ? Haha weita hakikisha zinakuja mbili mbili kila saaa[emoji23] [emoji23]
Poleeeee ukiona umezidiwa piga dompo itaflash halafu tunastart tena[emoji23] [emoji23] [emoji23]kitwanga zitaniua hizi [emoji42][emoji42][emoji42][emoji482][emoji481][emoji482] hata sioni mbele [emoji43][emoji43][emoji37][emoji37]
Akinya bata